Elections 2010 Bw. Rostam Abdulasur Azizi ameshinda kimaajabu huko Igunga

ituganhila

Member
Aug 25, 2009
24
0
NINASHANGAZWA NA USHINDI WA KISHINDO ALIYOUPATA BW. ROSTAM ABDULASUR AZIZI HUKO IGUNGA. NI KWAMBA JAMAA AMESHINDA BILA YA KUFANYA KAMPENI YOYOTE HAPO IGUNGA. UPINZANI ULIOONYESHWA NA CUF ULIKUWA MKUBWA SANA LAKINI AJABU JAMAA AMESHINDA KWA KURA 35000 NA USHEE DHIDI YA MPINZANI HUYO KWA KURA 11000 NA USHEE.
TUANGALIE KWA KINA UNASHINDA BILA KUFANYA KAMPENI?
HATA KURA YAKE MWENYEWE HAKUPIGA!
HAKUSAIGN MATOKEO YALIYOTOLEWA NANI KASAINI KWA NIABA YAKE?:thinking:
HAJAONEKANA JIMBONI KWAKE HATA SASA INAKUWAJE HAPO?
LAKINI CHADEMA IMEONYESHA MAKUCHA KWA KUCHUKUA VITI KADHAA VYA UDIWANI NA SHANGWE ILIKUWA KUBWA AJABU SANA!! :israel:
HAPO JE HAPANA UCHAKACHU WA AINA FULANI?:sad:
JE WANANCHI HAWA WENGI WALIO NA ELIMU KIDOGO,NA UMASIKINI NI NANI ATAKAYE WATOA KATIKA SHIDA YA ELIMU, MAJI, KILIMO CHA MVUA YA JUU, MARADHI NA UMASIKINI ULIOKITHIRI??
CHAEDEMA 2015 KAICHANGAMSHENI IGUNGA, ITOKE KWENYE SHIDA NA AIBU YA UMASIKINI.

ITUGANHILA
 
Labda zilikuwepo za nyumba kwa nyumba na sio za majukwaani. Basi wana-Igunga wanampenda, coz kama wanamkumbuka hata asipokuwepo..mmh, kweli hiyo inaitwa kampeni bila jasho.
 
Back
Top Bottom