Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 6,398
- 8,885
Bw.Kinana ni ushahidi wa kutosha kabisa kwamba sisi Wabantu ni wavivu yaani sio watu wakujituma, sio wachapa kazi!
Bw.Kinana asili yake Msomali na SIYO Mmbantu. Ufanyaji kazi na Uhodari wake uko dhahiri ikilinganishwa na Viongozi wengine (Wabantu wenzetu) waliowahi kushika wadhifa kama Wake hapo nyuma.
Angalia kila siku utasikia yuko hapa, yuko kijiji kile anajenga Shule hapa na unamuona akishika Matofali akichimba Mifereji, wakati wengine (Wabantu wenzetu) utawaona wakishika Mikrofoni tu na kupiga domo lkn sijawahi kuwaona wakibeba Tofali au kuchimba mifereji na Wananchi Vijijini...Hivyo hiyo ndiyo sababu kwa nini sisi (Wabantu)hatuna maendeleo kama kuna Mtu alikuwa anatafuta sababu!