Achileus Rwechungula
Member
- Oct 21, 2017
- 34
- 7
Nyumba ina vyumba 4 vyote self contain, ina sitting room mbili juu na chini kubwa iko juu, ina jiko sehemu ya kulia chakula, store room bila kusahau car parking yenye uwezo wa kuingia na gari mtu asikuone wapi umetokea. Model hiyo jipatie kwa sh 150,000 ukitaka ramani yake ni sh 200,000 ambayo itakua na frool plan,roof plan,cross section,four part ellavetion. Ni ramani itakayo kua imekamilika kwa ajili ya kuombewa kibali cha ujenzi (Ardhi).
Wasiliana nasi kupitia namba -0763269695 , au email : millzleus@gmail.com