Butiku Live kwenye Channel 10 now...

Status
Not open for further replies.

Mwawado

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2006
Messages
998
Points
195

Mwawado

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2006
998 195
Mwanakiji nafikiri Message yako uliyomuuliza Mzee Salim kwamba "Hivi ktk Viongozi wa Leo Hakuna mtu wa kuwakemea Wakubwa",ameifikisha kwa Mzeee Butiku!.Mzee Butiku amechoka na uzandiki wa hawa waungwana,amejitoa kafara kusema yote bila Uoga.CCM inagawanyika take my word!!!
 

Field Marshall ES

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2006
Messages
12,659
Points
0

Field Marshall ES

JF-Expert Member
Joined Apr 27, 2006
12,659 0
Wazee Samahani Butiku Yupo Tena Kule Channel 10, Wanarudia Ile Ya Asubuhi,

Mods, Baada Ya Muda Naomba Uifute Hii Thread, Maana Hiyo Butiku's Thing Ni Kama Saa Moja Tu Form Now,

Ahsante Wakuu, Samahani Kwa Usumbufu!
 

NakuliliaTanzania

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2007
Messages
560
Points
0

NakuliliaTanzania

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2007
560 0
Wazee Samahani Butiku Yupo Tena Kule Channel 10, Wanarudia Ile Ya Asubuhi,

Mods, Baada Ya Muda Naomba Uifute Hii Thread, Maana Hiyo Butiku's Thing Ni Kama Saa Moja Tu Form Now,

Ahsante Wakuu, Samahani Kwa Usumbufu!
Tatozo mkuu kijijini kwangu haioneshi, lakini asante kwa information, big up
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,382,526
Members 526,402
Posts 33,830,915
Top