Butiku: Kusoma tumesoma lakini ujasiri hatuna, tunashukuru Sasa tunaye msomi mmoja mwenye ujasiri

Si Lissu tu bali hata Prof. Baregu na Prof. Safari. Maoga kwa Mbowe hakuna mfano, utafikiri Mbowe ndie Professa na wao ni form 6 leavers tu. Kumbe the reverse applies. Mara baada ya Uchaguzi Mkuu (2015) nilibahatika kukutana na mmoja na kisha kumshauri wamwambie Mbowe ajiuzulu ili wasaidie chama chao kupata new bearing na kusonga mbele na mazingira mapya ya kisiasa. Doh, jamaa aliniambia kuwa Mbowe hakutaka kusikia jambo hilo na iwapo angethubutu kushauri hivyo Mbowe ange-engineer afukuzwe uanachama. Nilishangaa! Hii ni true story just from the horse's mouth.

..jasiri siyo huyu.

..jasiri ni mtu kama Tundu Lissu.

..akiwa kijana hana miaka mingi tangu amalize chuo kikuu alisimama kidete kutetea rasilimali zetu zisiibiwe.

..huyu mnayemuita jasiri alijificha miaka zaidi ya 15 huku madini yakiporwa.
Tobo lisu ni mnafiki siyo jasili. Angekuwa jasili angesimamia msimamo wake wa kumkataa Lowasa asigombee kupitia cdm. Au kama chama kingemkubali Lowasa kugombea Urais Lisu angeonyesha msimamo wake wa kutomkubali hivyo asingempigia kampeni.

Kumbuka Lisu alivyosimamia show ya kumtukana Lowasa akiwa ccm na alivyojiunga cdm akamuona ni msafi na shujaa. Hapo tu ndipo nilipomdharau Tobo Lisu.
 
Mnajaribu kutibu majeraha, poleni. NYIE Lumumba ndio chanzo cha yote yanayoipata nji hii katika madini. Ripoti ya tume yenu wenyewe mlokuwa mwaisubiri kwa bashasha imeyaweka vizuri sana wapi tulipojikwaa kama nchi.
Sasa kwa upole, tunzeni nguvu yenu iliyo baki ili mshiriki kwa moyo, kusahihisha makosa yote kwenye sheria na mikataba mbofumbofu, kama mlivyokuwa mnaelekezwa bila kuchoka na CDM, pamoja na vituko na vimbwanga vyenu vyote, BUNGENI.
Ni kweli itakuwa ngumu lakini ili kukamilisha kazi hii, itabidi hatimae tufukue makaburi. AMEN
 
Tobo lisu ni mnafiki siyo jasili. Angekuwa jasili angesimamia msimamo wake wa kumkataa Lowasa asigombee kupitia cdm. Au kama chama kingemkubali Lowasa kugombea Urais Lisu angeonyesha msimamo wake wa kutomkubali hivyo asingempigia kampeni.

Kumbuka Lisu alivyosimamia show ya kumtukana Lowasa akiwa ccm na alivyojiunga cdm akamuona ni msafi na shujaa. Hapo tu ndipo nilipomdharau Tobo Lisu.

..YES.

..Tundu Lissu siyo "jasili" bali ni jasiri.
 
Kila watu wana jasiri wao. Nchi huru tusilishane matango pori hapa.
 
..jasiri siyo huyu.

..jasiri ni mtu kama Tundu Lissu.

..akiwa kijana hana miaka mingi tangu amalize chuo kikuu alisimama kidete kutetea rasilimali zetu zisiibiwe.

..huyu mnayemuita jasiri alijificha miaka zaidi ya 15 huku madini yakiporwa.
Mkuu akina Dr Slaa sijui wana fit wapi.

Kuna Zitto Kabwe alitupwa nje ya Bunge akiwa kijana mdogo tu, aliyosimamia ndiyo leo yanaonekana taarifa mpya kabisa, wengine walikuwa kimyaaa!

Hivi nani mwenye uthubutu, aliyejaribu au wanaosubiri miaka 15 baadaye?

Nadhani kuna ukweli , uthubutu wa akina Slaa na Zitto ni wa miaka mingi, umeoza
Tunaongelea uthubutu unaoiva sasa. Right!
 
Watu wengine akili hamna. Watu wanafanya fujo bungeni wanawashambulia askari wa bunge mnasema wanatetea madini?
 
Back
Top Bottom