Butiama wananyang'anywa sufuria, jembe kisa michango ya elimu. Shinyanga wanagawiwa ID za ujasiriamali kwa mtutu na askari. Tutafika?

Nimeshuhudia mwenyewe kwa macho yangu. Huko Ngaramtoni, Sakina wananchi wengine wanatozwa kuanzia laki; hawana kiwango maalumu cha tozo
Kiufupi inasikitisha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh hii ni sawa na huko Butiama. Na JPM yupo sijui ndo kawaagiza.. Watu wanalia kila siku hawana mtetezi
 
Habari mwana JF..

Je tumekosa dira au tumeamua kwa makusudi kuwaumiza watu wetu?!

Hivyo ndivyo navyoweza kuuliza kwa hali tuliyofikia sasa.

Sasa hivi tunavyozungumza huko Butiama ktk baadhi ya vijiji kama Buturu, michango ya ujenzi wa sekondari inalazimishwa hata kwa asiye na uwezo. Buturu wanachangishwa sh. 40,000/= (awamu ya 1). Juzi wenyekiti wa vijiji wameanza oparesheni kukamata kuku, jembe, sufuria n.k kwa yeyote ambaye mpaka sasa hajachanga.

Ikumbukwe sasa hivi kaya nyingi ndio zipo ktk kilimo, ni msimu wa kupanda ila kwa umaskini wa kaya zile hata mbegu ya kilimo ni shida. Mbolea ndio hawanunui kabisaa..! Ni maskini wa kutupwa. Hizo 40,000/= watatoa wapi?!

Hiyo mnayosema ni serikali sikivu, ni ipi?! Hii inayo engineer unyonyaji mkubwa hivi?!

Sasa huku Shinyanga ndio nimeshangaa.
Waponda mawe ya mgodini, kina mama wauza mchicha n.k wamelazimishwa kuuziwa vitambulisho vya ujasiriamali.

Ktk taarifa ya habari ya ITV usiku wa saa 2, tarehe 15 march 2019, ameonekana mkuu wa wilaya ya shinyanga akitimka mbio na askari wake kuwakimbia waganga njaa wa mgodini ambao waliandamana kwenda kulalamika kulazimishwa chini ya ulinzi mkali na bunduki kununua vitambulisho hivyo.

Wamehoji kuwa wao sio wajasiriamali! Mama mmoja akahoji yeye anauza mchicha na mtaji wake ni sh. Elfu 3. Anatoa wapi 20,000/-???!

Ni wapi tunafeli. Inakuwaje project za JPM zinageuka mateso kwa mwananchi?

Au ukitembelea VX unisahau uhalisia wa maisha ya wananchi wako?!

Cc: barafu , technically , magongwa mtambuka, UCD . Wakudadavuwa
Ngoja wanyooshwe hiyo safi sana.
Kesho wakirejeshewa sufuria zao waandamane kupongeza juhudi za rais kwa kuwarudishia sufuria zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona mm hujanitana brza,
Ninikwama wapi??????
Habari mwana JF..

Je tumekosa dira au tumeamua kwa makusudi kuwaumiza watu wetu?!

Hivyo ndivyo navyoweza kuuliza kwa hali tuliyofikia sasa.

Sasa hivi tunavyozungumza huko Butiama ktk baadhi ya vijiji kama Buturu, michango ya ujenzi wa sekondari inalazimishwa hata kwa asiye na uwezo. Buturu wanachangishwa sh. 40,000/= (awamu ya 1). Juzi wenyekiti wa vijiji wameanza oparesheni kukamata kuku, jembe, sufuria n.k kwa yeyote ambaye mpaka sasa hajachanga.

Ikumbukwe sasa hivi kaya nyingi ndio zipo ktk kilimo, ni msimu wa kupanda ila kwa umaskini wa kaya zile hata mbegu ya kilimo ni shida. Mbolea ndio hawanunui kabisaa..! Ni maskini wa kutupwa. Hizo 40,000/= watatoa wapi?!

Hiyo mnayosema ni serikali sikivu, ni ipi?! Hii inayo engineer unyonyaji mkubwa hivi?!

Sasa huku Shinyanga ndio nimeshangaa.
Waponda mawe ya mgodini, kina mama wauza mchicha n.k wamelazimishwa kuuziwa vitambulisho vya ujasiriamali.

Ktk taarifa ya habari ya ITV usiku wa saa 2, tarehe 15 march 2019, ameonekana mkuu wa wilaya ya shinyanga akitimka mbio na askari wake kuwakimbia waganga njaa wa mgodini ambao waliandamana kwenda kulalamika kulazimishwa chini ya ulinzi mkali na bunduki kununua vitambulisho hivyo.

Wamehoji kuwa wao sio wajasiriamali! Mama mmoja akahoji yeye anauza mchicha na mtaji wake ni sh. Elfu 3. Anatoa wapi 20,000/-???!

Ni wapi tunafeli. Inakuwaje project za JPM zinageuka mateso kwa mwananchi?

Au ukitembelea VX unisahau uhalisia wa maisha ya wananchi wako?!

Cc: barafu , technically , magongwa mtambuka, UCD . Wakudadavuwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fafanua bwana unaedhan msomi anaweza asikuelew kama mm tu
.
Kuhusu michango shuleni, kuna jambo ungefanya ili kuboresha hoja yako.

Pitia shule tano huko Butiama.

Tafuta watoto watano kutoka familia tofauti.

Tambua wazazi wao.

Watafute wazazi hao huko nyumbani kwao.

Kila mzazi mwulize maswali mawili.

1. Kwa mwezi unatumia shilingi ngapi kwa ajili ya gharama za karo ya mtoto wako? (Rekodi jibu la kwanza kama X)

2. Kwa mwaka unatumia shilingi ngapo kwa ajili ya gharama zilizo nje ya karo ya mtoto wako? (Rekodi jibu la pili kama Y).

Gawanya X kwa Y. (Rekodi jibu kama Z)

Zidisha Z mara 100. Rekodi jibu kama R

Tafuta R kwa kila kaya.

Mwisho tafuta wastani wa R.

Halafu utwambie majibu hapa.

Kwa vile Profesa Ndalichako ni msomi atakuwa amepata ujumbe kisayansi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
There is a problem with this man,kwanini kila jambo akianzisha linafeli kwa maana halileti matokeo chanya?
Jambo la nchi ukijifungia chumbani ukaliwaza mwenyewe, ukali frame mwenyewe na kulisimamia wewe tu. Lazima lifeli. Uongozi ni watu
 
Cha kushangaza unaweza kuta Rais muda anapitia uzi huu anatabasamu na kucheka kwa dharau na ajisemea moyoni ''na bado mtalimia meno kwa sana '' .Miezi miwili iliyopita Nilikua Butiama nikasikia wanajisemea kua Manyerere Jacton watampa ubunge. Ila kwakweli Butiama Hali ni mbaya sana ki Uchumi...ofisi za halmashauri kwenyewe unatia kinyaa.

Kwakweli nguvu inayotumiwa na Viongozi kwa kuogopa nguvu ya Ikulu inatisha sana.
 
Manyerere amejitahidi kujiweka karibu na utawala huu... Nafikiri anaitaka nafasi ya Mzee Nimrord Mkono. Japo si mtu mzuri sana Mara nyingi anatanguliza maslahi yake..
 
Tumumwage hiyo 2020, unyonyaji ni jambo lisilovumilika..
Usipotaka stress zozote basi kaa home tokea niwe na 18 sijawahi kupoteza muda kupiga kura za kiboya hata siku moja mimi huwa nakaaga tu home naenda nasumbuka napata kitambulisho cha mpiga kura basi baada ya hapo ndani.
Nakusikiliza mwanzo mwisho ili akija kuchaguliwa mtu isiniume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manyerere amejitahidi kujiweka karibu na utawala huu... Nafikiri anaitaka nafasi ya Mzee Nimrord Mkono. Japo si mtu mzuri sana Mara nyingi anatanguliza maslahi yake..

Tunaomba background yake kwanza kabla ya ubunge anaoutaka
 
Mungu
Manyerere amejitahidi kujiweka karibu na utawala huu... Nafikiri anaitaka nafasi ya Mzee Nimrord Mkono. Japo si mtu mzuri sana Mara nyingi anatanguliza maslahi yake..
Mungu amponye sana Mzee Mkono ,huko kwao waliopewa dhamana ya kulinda baadhi ya mali zake wameanza kugombania mali ya Mzee wakisema kua Mzee hawezi kurudi akiwa hai. Namwombea sana kwa Muumba.
Butiama sijui nani aliwalaani ,wamejaliwa kua na watu Ila wamekosa wa kuwasemea.

Huku kwetu tunapasua barabara za lami ambazo unaweza kukaa baada baada ya masaa matatu uoni ata baskeli inayopita Hapo lakini watu wa Butiama hawana ata maji ya kunywa.
 
Back
Top Bottom