Buswelu yalindima kwa shangwe

delete ccm

Member
Nov 10, 2014
87
15
wananchi wa Busweru na vitogoji vyake leo wanapata elimu ya uraia kupitia makamanda wao wapendwa.Yupo Vicent ;Wenje pamoja na Hayness makamanda wote tuhudhurie kuwapa nguvu.
 
Msisahau kuja mitaa ya mecco hasa mecco kusini nao muwape elimu.maana bado wanadanganyika na sukari na chumvi.
 
Back
Top Bottom