Jasho la Damu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 956
- 120
Kufuatia mgogoro wa umiliki wa eneo la bustan ya magomeni kati ya Chama cha Mapinduz(CCM) na Manispaa ya Kinondoni. Diwani wa kata ya magomeni ametangaza rasmi kupitia ITV kuwa eneo hilo ni mali ya chama chake na ni ruksa kwa wafanyabiashara kufanya biashara zao huku ikijulikana wazi kuwa eneo ni mali ya Manispaa ya Kinondoni.