Kazwala mkuu
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,034
- 2,247
Khatari sanaHapo kama maji n ya kununua kwa madumu utamkimbiza
Kuna vitu ni kwa ajili ya kuona tu kama mapambo ya nyumba.Hizi mambo ni kama maua. Yanapendeza kuyaona ila ni useless kwa matumizi ya binadamu.
kwaniniHapo kama maji n ya kununua kwa madumu utamkimbiza
Mwanamke akiwa namna hiyo hafi njaa mjini.....lazima wafadhili watashikwa na "huruma" na kumsaidia.Naona SHEHENA imepaki kwenye Mbuzi hapo...!
Hayasemeki mkuu.mtoto wa kidogo huyoo hapoo utasikiaa anaimbaa rohonii hapoo huku nyama inanukiaa kwa mbali mchelee upoo kwenye ungoo...utasikiaa "CHIZI AKIPATAA JALALA UJUEE KATAJIRIKAA HUYOO ...mara anabadiishaa menzenu nimepata muungwani anaenijalii mieee ...bwanaaa ...mtaaani kuna majamboo ...ila brooo shemu mlimaa anaoooo JEEE UNAUPANDAA VIZURII AU
Siyo macho yako bali ndiyo hali halisi.Yah....kijani kibichi!halafu yale maua kule mbele kama yapo kwenye ndoo za rangi tofauti tofauti au macho yangu?!
Wenyewe wanasema eti hata mbuzi anayo.Hamna anayeongelea sura.