Bustani imekubali sana

Kazwala mkuu

JF-Expert Member
Jul 2, 2016
1,034
2,247
1482501355128.png
Kama unavyoona kwa kule mbaali kabisa.
 
Yah....kijani kibichi!halafu yale maua kule mbele kama yapo kwenye ndoo za rangi tofauti tofauti au macho yangu?!
 
mtoto wa kidogo huyoo hapoo utasikiaa anaimbaa rohonii hapoo huku nyama inanukiaa kwa mbali mchelee upoo kwenye ungoo...utasikiaa "CHIZI AKIPATAA JALALA UJUEE KATAJIRIKAA HUYOO ...mara anabadiishaa menzenu nimepata muungwani anaenijalii mieee ...bwanaaa ...mtaaani kuna majamboo ...ila brooo shemu mlimaa anaoooo JEEE UNAUPANDAA VIZURII AU
 
Hayasemeki mkuu.
 
Bustani zinahitaji kupaliliwa na kupatilizwa ili zishamiri na kumea kama mnavyojionea.
 
Back
Top Bottom