Business partner wanted

SWEEPER

JF-Expert Member
Jul 16, 2012
269
87
Salamu zenu wanajamvi!

Mimi ni mjasiriamali, ninamiliki mashine za kukamua mafuta ya alizeti mkoani Singida. Ninatafuta business partner ambaye ana mtaji kwa ajili ya kushirikiana naye kukuza biashara ya mafuta ya alizeti na mashudu. Yeyote mwenye mtaji wa kati ya milioni 20 - 30 awasiliane na mimi. Ni biashara nzuri, inalipa na ni feasible. Serious entrepreneurs aniPM.
 
Sasa huo ni utapeli,
ni lazima useme wewe una market share tayari ama ndio unaanza na unahitaji kuongeza nini ktk biashara yako kama ni packaging ama kusafirisa nje?
Je wewe una market capital ya sh ngapi? Bank statement unayo?umeajiri watu wangapi?una kiwanda ama masine zipo chumbani kwako?umesajili jina la biashara?
Pesa hazitoki kirahisi hivo ni bora kuzipeleka dar stock exchange.
 
Naamini kama ameenda shule amekupata mkuu. Ngoja ajipange atarejea JF amefafanua zaidi kila kitu kabla ya kuweka condition mbele mbele kama Africa na umasikini!
 
Back
Top Bottom