Business partner mabibo hostel au udsm new mlimani hostel - kushare kodi ya fremu

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,822
33,514
Habari wadau.

Natafuta mjasiriamali wa kushirikiana kupanga nae fremu kwenye hostel za wanachuo udsm na kufanya separation ya fremu space via aluminium na kila mtu akafanya biashara yake.. muhimu biashara zisiiingiliane.. na prefer ndani ya hostel za chuo sababu biashara yangu imelenga vijana zaidi ambao wengi ni wanachuo, na usalama wa vitendea kazi ni mkubwa kuna ulinzi 24 hours.

Kwa research yangu kodi wanachaji usd 3 mpaka 6 kw square meter.. my business inahitaji square metre kama 20..

Will be a tshirt printing studio… ma fremu ya mabibo ni makubwa sana so ni vizuri kama kuna mtu ana biashara nyingine ambayo target market yake ni wanafunzi tukashirikiana kwenye kodi na kugawana fremu square metre space based ya ulivyochangia…..

Na prefer sana mtu anaeuza nguo

Mtu wa make up and hair styling saloon

Mtu wa stationary

Na biashara ingine yeyote ya kuuza vitu vya wanachuo tofauti na chakula,, kuondoa disturbance ya harufu ya mapocho pocho

Namba ya simu 0718 537 216

note : mtu anaehitajika ni mwenye biashara inayohitaji square metre sio chini ya 10... kuondoa kurundikana wengi in a one fremu
 
MKUU,
INA MAANA HIYO RENT HAWATOZI KWA TZS?

KAMA WANATUMIA TZS,
NI SH. NGAPI KWA MWEZI HIZO SQ METER 20?

NIFAFANULIE ILI TUCHECK UWEZEKANO.

PLAN YANGU NI STATIONERY.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kodi wanatoza kwa usd sio tsh. na hawapo straight ni kuaznia usd 3 kwa square metre hadi 6 kwa square metre kwa mwezii

NIMEKUELEWA VEMA MKUU.

SASA HAPA YABIDI TU_TAKE RISK TUJILIPUE ZILE HOSTEL MPYA ZILE.

BY THE WAY,
NASIKIA BAADHI YA BIASHARA NAFASI WANAPEANA KWA KUJUANA (WAFANYA KAZI WA PALE AU NDUGU ZAO)-

VIPI HUJAEXPERIENCE HIZO DALILI KATIKA UFUATILIAJI WAKO?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
biashara ni talent sio kila mtu anaweza.. mwanzo walikuwa wanapeana sana nina imani mpaka sasa.. ila nimechungza mabibo kwa mwaka huu tu toka january kuna fremu zaidi ya 4 zilikuwa wazi bila wapangajiii... watu wanakimbia fremu waliozoea kufanya biashara kwa mazoea... so mtu yeyote kabla hajawekeza hela yake lazima awe smart kujua atafanyeje biashara yake asikose wateja.. zama za mazoea ni kama zimekwisha..

nowdays wanashindwa waweka ndugu zao vilaza maana wanafeli biashara

TRUE WORD.

SASA MKUU PRIORITY YAKO NI MABIBO AU HOSTEL MPYA.

MAANA'KE HAPA YABIDI TUWE NA SEHEMU MOJA WAPO YA KUANZIA KATI YA HIZO.

NA TUJUE KAMA RENT YAO NI KWA MWAKA MZIMA AU WANAWEZA KUPOKEA YA NUSU MWAKA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
commercial building bado haijajengwa hostel mpya...

so mabibo ndipo ipo ready kwa sasa...labda mbelen wakiijenga twaweza amia kule.

TRUE WORD.

SASA MKUU PRIORITY YAKO NI MABIBO AU HOSTEL MPYA.

MAANA'KE HAPA YABIDI TUWE NA SEHEMU MOJA WAPO YA KUANZIA KATI YA HIZO.

NA TUJUE KAMA RENT YAO NI KWA MWAKA MZIMA AU WANAWEZA KUPOKEA YA NUSU MWAKA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wadau.

Natafuta mjasiriamali wa kushirikiana kupanga nae fremu kwenye hostel za wanachuo udsm na kufanya separation ya fremu space via aluminium na kila mtu akafanya biashara yake.. muhimu biashara zisiiingiliane.. na prefer ndani ya hostel za chuo sababu biashara yangu imelenga vijana zaidi ambao wengi ni wanachuo, na usalama wa vitendea kazi ni mkubwa kuna ulinzi 24 hours.

Kwa research yangu kodi wanachaji usd 3 mpaka 6 kw square meter.. my business inahitaji square metre kama 20..

Will be a tshirt printing studio… ma fremu ya mabibo ni makubwa sana so ni vizuri kama kuna mtu ana biashara nyingine ambayo target market yake ni wanafunzi tukashirikiana kwenye kodi na kugawana fremu square metre space based ya ulivyochangia…..

Na prefer sana mtu anaeuza nguo

Mtu wa make up and hair styling saloon

Mtu wa stationary

Na biashara ingine yeyote ya kuuza vitu vya wanachuo tofauti na chakula,, kuondoa disturbance ya harufu ya mapocho pocho

Namba ya simu 0718 537 216

note : mtu anaehitajika ni mwenye biashara inayohitaji square metre sio chini ya 10... kuondoa kurundikana wengi in a one fremu

Mkuu niko interested lakini tatizo ni biashara ni ya msimu mule kwasababu chuo kikifungwa kunakuwa hakuna wanafunzi. Umeshapata frame? Nasikia kupata frame mlolongo wake mrefu maana mpaka huo kiapprove ?
 
bado sijapata .. mkuu usiwe mtu wa sababu sababu... habit ya excuse ni ya loosers.. huo huo mlolongo mrefu ndio tutaupitia... na kodi wanachaji kipindi wanafunzi wapo chuoni... wakifunga nawe unafunga biashara hawakudai kodi.. ila kama ukiamua kufungua biashara wakati wanafunzi wamefunga wanakulipisha kodi nusu bei kwa mwezi

Sawasawa mkuu ntakutafuta, nilipitaka nikaona kuna frames kibao ziko empty halafu kubwa, nikashangaa kuona hakuna biashara, Ila ukitoka nje ya geti biashara kibao. Vipi spending power ya wanafunzi mule?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom