Business or Politics: Another dimension in Tanzanian Politics

Huyu jamaa uwa anakuja ana testi zali kisha anakimbia, anachokiongea hapa hata hakieleweki. Sijaona hoja ya msingi wala msingi wa hoja uliowekwa au kujengwa na huyu Tambwe v2.0
Ingekuwa ni vyema ungeanza kufanya utaratibu wa kutafuta kazi maana rungu nawe lakunyemela huko CCM, inabidi ukaendeleze CCJ ili upate ajira kaka.
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Masa, this is not fair!. Hoja hujibiwa kwa hoja, kama ni crap, unaichambua u-crap wake. Mimi naamini Nape ni muhimu sana kuwamo humu kujibu hoja za msingi. Hili la mtu kaleta mada, na kuanza kumshambulia mleta mada na kuacha mada husika is low, and you Masa, you don't belong to this group!. Please!.
mkuu umenipa shoko

are you buying goodwill au unakua mzandiki??
 
Moral reasoning lies at the heart of the debate on separating business and politics. It emphasizes the need to do the right thing by the right means inoder to achieve a specific end..

ndugu yangu!! Try to be a great thinker.. May be I should ask you first, what is your opinion on this?
 
Let's not forget, JF is a thinktank whose mission is....to broaden the debate on our future through public policy research and education and explore positive changes within our public institutions that support economic growth and opportunity.
 
A lot of us are politically blind and usually end up joining the band wagon and reducing our political relevance.I guess you do not understand the political economy. Business and politics are intertwined. However, more money equals more power. This is common throughout the world.Let us put mechanism in place to ensure the interest of the mass prevails

Ben Ukipanua maelezo yako zaidi kidogo.
nikiishakujihakikishia kwamba Nape kayasoma maelezo yako at least three times
nitamtafuta popote alipo, na nguvu, nitamleta umpe "certificate of attendance
in the Political Economy JF Training"

Kila mtu ana haki ya kufanya biashara for his personal interest,
kama mtu anaweza kuwa tajiri sana kama bill gates ndani
ya tanzania, awe tu, na akitaka kufanya siasa pia aingie afanye,
lakini misingi ya siasa za kuendesha serikali ni very clear, The
Government must always make sure that the interests of of
the mass are fore front.

Haijarishi rais ni mfanyabiashara, mkulima,has "a jobless" experience,
wananchi wanataka anti corruption governance, the best available education
systems, health services, stable economy, employment, security, democratic
elections and change of power, fair legal system, world competitive
infrastructures and the like

Kama Backresa anaweza kutuhakikishia hili, let him come and we discuss it
over, we can select him our president no less than that.
 
Moral reasoning lies at the heart of the debate on separating business and politics. It emphasizes the need to do the right thing by the right means inoder to achieve a specific end..

Where did you get this adage? where is the baundary of the two? History tells us that the two are symbiotic. Please show us the context of this argument otherwise it sounds vague.
 
Let's not forget, JF is a thinktank whose mission is....to broaden the debate on our future through public policy research and education and explore positive changes within our public institutions that support economic growth and opportunity.

Mkuu Mkandara, do you honestly think with the current situation within the ruling CCM kuna any opportunity ya mtu wa kijijini lakini mwenye kipaji cha uongozi, akafanikiwa kupata uongozi say akigombea Singida mjini?... These are the issues tunazotakiwa kuzidiscuss, i beg you please tusidiscuss hoja based on mtoa hoja ni NANI? but rather hoja yake inalenga wapi?... Vivyo hivyo hata ingekua CDM, leo hii wanachama wao wanafurahia sana sababu Mwenyekiti wao ni mfanyabiashara tena mzuri tu, lakini kuna haja ya kulitazama kwa mapana yake. Hapa hawaongelei hawa masubsistence business people ambao tunao mitaani kila siku wakihangaika kama sisi wengine.

Je tutakua na nchi ya wakulima na wafanyakazi iwapo 10% ndio inaendesha sera za nchi? What control measures do we need in place in order to control influence ya wafanyabiashara? Je tunazo hizo measures in place, mathalan tunaweza kujua to one decimal digit error the amount ambayo Bakhresa amezalisha na kuuza last year? tunaweza kujua the amount ambayo say Mohammed Enterprise ametumia kwenye last general election? Kama kweli Taifa letu lipo tayari kupangiwa sera na wafanyabiashara sawa, leo hii tumesikia bajeti ikisomwa, je tuna uhakika gani kuwa hakuna wafanyabiashara walioingia bungeni kipindi hiki kwa nia ya kuzibeba bidhaa zao? kunywa chai na Waziri wa Fedha na kulobby bidhaa zao zikapunguziwa kodi?... Tuchambue hoja!
 
Moral reasoning lies at the heart of the debate on separating business and politics. It emphasizes the need to do the right thing by the right means inoder to achieve a specific end..

What are trying to say?
 
nape is right and you guys wana jf mko right .kwanini every answer either yes or no is right unless officialy proved by facts .wana jf u have provide facts zenu ingawa mmeponda mazee sana.bado facts from him on wat ame andika. and then we can draw conclison from the facts
 
Tatizo sio mfanyabiara kuwa mwanasiasa, tatizo ni nature of the business and controlling greedy. Isije kuwa ni design ya wanasiasa wetu kama wanajua kuna tender zinakuja halafu wao wenyewe ndio inside men mara tu ndio wanageuka wafanyabiashara this is unacceptable. Au zile za kuwaambia wawekezaji watoe shares kwa wananchi halafu hakuna misingi sahihi ya kugawa hizi shares kihalali matokeo yake kila ukienda kuna waziri body member, wafanya biashara wa design hii ni hatari na huleta matatizo through suspicion.

Therefore lazima kuwe na mechanism ambayo inazuia conflict of interest (greedy) as to be capped no matter where in the world people are all the same. Si ajabu wale jamaa wana businesses kwenye karibu kila sehemu ya uchumi wetu and not because the're too smart but rather because there in the know kushinda wafanyabiashara halali.
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Ameandika sentesi moja haina kichwa wala miguu...haya ni mambo ya facebook. Yeye aje na hoja itajadiliwa mkuu. Angalia ulivyoaandika wewe hapo juu umeweza hata kuweka nia kwa kwachangiaji labda kwa kuwa wewe ni good debater. Huwezi andika kitu kisicho na nyama utegemee watu wachangie. Nape should show maturity

Rev how can you show maturity while you are not matured!
 
nape is right and you guys wana jf mko right .kwanini every answer either yes or no is right unless officialy proved by facts .wana jf u have provide facts zenu ingawa mmeponda mazee sana.bado facts from him on wat ame andika. and then we can draw conclison from the facts

We ni nani?

Unajari kuonyesha kuwa katika hii hoja kuna pande mbili moja ya Nape na nyingine ya JF unajitambuwa kweli? au wewe ni Hakimu!, Mods!, Refarii!, au ujitabui! Inakuwaje hujitambui wakati maneno yako yanakupambanuwa dhahiri upande uliopo. Hakuna ulichochangia hapo maana kwanza huna msimamo noja kwa moja juu ya nini unataka kujali ingiwa unaonyesha nia kuwa unahitaji huruma ya wana-JF kumuelewa Nape!

Nadhani kama lengo lako ni kutete hiyo hoja nenda moja kwa moja katika hiyo hoja na toa ufafanunuzi zaidi na maelezo yako juu ya utetezi husika, badala ya kupiga mbiu
 
Back
Top Bottom