Business or Politics: Another dimension in Tanzanian Politics | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Business or Politics: Another dimension in Tanzanian Politics

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Honey K, Jun 8, 2011.

 1. H

  Honey K JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2011
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Moral reasoning lies at the heart of the debate on separating business and politics. It emphasizes the need to do the right thing by the right means inoder to achieve a specific end..
   
 2. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,596
  Likes Received: 18,592
  Trophy Points: 280
  Nape, kwanza hongera kwa kuchaguliwa NEC, CC na Katibu Mwenezi. Tangu umechaguliwa, sijabahatika kukuona humu, hivyo nimefarijika sana kukuona tena, ila pia utanisamehe, isije kuwa ni mimi tuu ndio sijabahatika, ula upo na ulikuwepo.

  Pamoja na kuanzisha hii thread ya uchaguzi, kati ya biashara na siasa, kwa maoni yangu binafsi, haina mashiko kwa CCM as long CCM tayari imeishahodhiwa na wenye nazo. Siasa za CCM ya sasa ni pesa kama huna, huna chako.

  Ila hoja hii, inaweza kuwa na mashiko kama ni kweli CCM iko serious na mageuzi yake ya kujivua gamba, ili ibaki CCM safi ya watu waadilifu na kuwaruhusu wenye nazo, wakajiendeshee zao maisha yao mbali na CCM ile ya Nyerere.

  Kwa vile wewe ni member humu, nakusihi sana jitahidi ujitokeze hivi japo mara moja moja ili angalau ukitetee chama chako kwenye hoja za msingi, badala ya kukaa mbali na kuacha uwongo ukirudiwa rudiwa mpaka mwisho wake unaonekana ndio ukweli.

  Karibu tena.

  Pasco.
   
 3. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35

  Ajitokeze mara ngapi? Mbona anajitokeza karibu kila siku kwa majina tofauti
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Ameandika sentesi moja haina kichwa wala miguu...haya ni mambo ya facebook. Yeye aje na hoja itajadiliwa mkuu. Angalia ulivyoaandika wewe hapo juu umeweza hata kuweka nia kwa kwachangiaji labda kwa kuwa wewe ni good debater. Huwezi andika kitu kisicho na nyama utegemee watu wachangie. Nape should show maturity
   
 5. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,935
  Likes Received: 12,203
  Trophy Points: 280
  Wana psychology tunaona hizi ni dalili za frustrations.
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  what morals?? do you have any??
   
 7. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Pasco unasumbuka kumshauri bwana huyu kuwa awe anakuja hapa JF mara kwa mara.

  Nape tangu amejiunga hapa JF 2008 ni vigumu sana kumkuta. Mara alipochaguliwa kuwa vuvuzela wa CCM haraka haraka ameanza kuja tena JF lakini huwezi kuona anatulia hapa kujibu hoja. Nina mashaka hata kama atatoa thanks kwa ushauri wako mzuri kwake. Ni hivyo hivyo hata kule facebook hana mchango wowote.

  Nimesoma humu thread moja kuwa alisema kwenye mahojiano katika tv ya mlimani katuma vijana wake hapa jf na fb kupambana. Sasa kama yeye ni mwoga wa kutetea hoja hao aliowatuma wataweza wapi?

  Angalia mwenyewe, hoja ambazo anatakiwa akawaambie kwenye chama chake kilichojivika magamba kwanza, yeye anajaribu kuileta hapa.
  Hivi anadhani hilo ndilo tatizo la ufisadi? Hajui hata wangewapa maskini uongozi ufisadi unaweza kuwapo tu?

  Tunahitaji viongozi safi wa moyo. Tunahitaji sheria kali za kuwawajibisha viongozi wakiukao maadili. Utajiri wao kabla ya kuwa viongozi hauna mantiki yoyote.
   
 8. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Nape, this statement expresses your sheer frustrations at failing to 'axe' down the Triangle Tripplets' (na ubavu na nguvu hizo huna).
  You're alone in CCM if you don't have a 'company'.
  In Chadema we have this well defined; once in active politics we take sabatical leave from our b'ness.
   
 9. L

  LAT JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  Wafanya biashara lazima wafanye siasa .... huwezi kuwanyima haki yao ya kikatiba ..... Tanzania hatujitambui kwa sasa lakini Tnzania is now a full capitalist country ... there is a big gap between those who have and those who dont have

  kinachotakiwa kutenganishwa hapa ni wafanyabiashara na uongozi wa umma tena katika level ya juu ya mhimili wa executive

  nape jitahidi sana kufikiri kwa kina na kutafakari kabla hujaleta hoja humu jamvini
   
 10. F

  FJM JF-Expert Member

  #10
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Nadhani clue ya anachosema Nape ipo kwenye title ya hii thread ambayo ni "BUSINESS or POLITITCS; another dimension in Tanzanian Politics".

  Kwa kutumia maneno 'another dimensio' nadhani Nape anatutangazia waziwazi kuwa ccm wamekwama kutimiza ahadi zao nyingi za kasafisha siasa na hata yale majigambo ya kutenganisha biashara na siasa yamekwama. Kwangu mimi ndio tafsiri napata.

  Labda nimtoe wasiwasi Nape kuwa hakuna mtu aliyetegemea ccm kutenganisha biashara na siasa! hakuna! Kitu watu wanataka sasa hivi ni kutenganisha ccm na madaraka maana mnatupeleka jehanam mchana kweupe!
   
 11. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #11
  Jun 8, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  A lot of us are politically blind and usually end up joining the band wagon and reducing our political relevance.I guess you do not understand the political economy. Business and politics are intertwined. However, more money equals more power. This is common throughout the world.Let us put mechanism in place to ensure the interest of the mass prevails
   
 12. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #12
  Jun 8, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  What is wrong about doing business n being in politics?

  Incase bakresa akiamua kugombe nafasi CCM kosa lake litakuwa nn?

  Tumeine neno greed vs politiki???

  Waroho na wenye tamaa ya utajiri usiwaite wafanya biashara!!!
   
 13. M

  Mkandara Verified User

  #13
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Haaa! You are a Politician mkuu wangu ndio maana umepewa wadhifa huo. Business huiwezi unless business yenyewe ihusiane na Politics. Moja ya malengo ya chama CCM (a specific end) is to win elections by any means necessary!..That is your business!
   
 14. U

  Unstoppable JF-Expert Member

  #14
  Jun 8, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,049
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu kama bado CCM inatekeleza Azimio la Arusha, nijuavyo mimi kiongozi wa siasa hawezikuwa mfanyabiashara. Au wamebadilisha katiba ya chama?
   
 15. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #15
  Jun 8, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Halafu Nape unauchochea mwenyewe moto unaokuunguza, huna pa kukimbilia: JK mtu wa fitina hadi mwanae karithi (Riz1 hakuzaliwa na Salma), Kimbao deki juu imenasa na hao wemngine hawakupendi jinsi unavyo rap. Utaweza kwenda kwa JM?
   
 16. T

  Topical JF-Expert Member

  #16
  Jun 8, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Itakuwa dhambi kunbagua mtu au watu kutofanya biashara kwakuwa wameamua kuwa wafanyabiashara!

  Biashara kama biashara si dhambi, na kuwa mfanya biashara ni kuwa kiongozi..pengine makini kupita wanasiasa wengi akiwemo Nyerere ambaye alikuwa hajui biashara na alipenda umaskini (akifikiri umaskini pekee utampeleka peponi) wrong!

  Kuna wafanya biashara wazuri hivyo kwakuwa wameendesha biashara kwa umakini, biashara halali wanastahili uongozi wa kisiasa hata urais bila pingamizi..

  Si kila mfanya biashara ni mbaya na wala si mwanasiasa asiye na biashara ni mzuri sana wrong!

  Mwanasiasa anaweza asiwe na biashara akawa mbaya, anaweza akawa na biashara akawa kiongozi mzuri

  Issue: ni transparency kwa kila anayetaka kufanya kazi za umma period irrespective ni mfanya biashara, mfanyakazi, mtumishi, mkulima etc...
   
 17. chipanga

  chipanga JF-Expert Member

  #17
  Jun 8, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 661
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 60
  Nape ur a square peg in a round hole! Toka CCM!
   
 18. U

  Unstoppable JF-Expert Member

  #18
  Jun 8, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,049
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Atoke CCM aende wapi? Akihamia chama kingine nini kitabadilika? He will still be Nape with same morals and ethics. Labda aachane kabisa na siasa may be sio area yake hiyo.
   
 19. chipanga

  chipanga JF-Expert Member

  #19
  Jun 8, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 661
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 60
  ...yaah incase akiamua kuwa stiff naked fool, lkn kwa usomi wake naami akieleweshwa madhara ya kuwa huko aliko ataelewa tu.
   
 20. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #20
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Nape anakuja na hoja za kuangalizia. Hana fikra pevu zitokazo kichwani mwake ndio sababu anaropoka ropoka kama babu yake Makamba.
   
Loading...