Business Opportunity

sweetdada

sweetdada

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Messages
540
Likes
15
Points
35
sweetdada

sweetdada

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2011
540 15 35
Nina bidhaa kwa ajili ya wamama wanaonyonyesha.

Natafuta dealers ambao watanunua kwa bei ya jumla na kuuza kwa end user. Dealer atapata faida ya shilingi elfu kumi kwa kila bidhaa atakayouza. target market ni wamama/wadada wanaonyonyesha.

kwa maelezo zaidi PM me.

Sweetdada
 
C

Changamoto2015

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2012
Messages
759
Likes
47
Points
45
C

Changamoto2015

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2012
759 47 45
Bado sana kwenye matangazo! Hujaweka sifa za kutosha kwa hiyo bidhaa yako isiyojulikana mpaka sasa.
Utofauti wake na bidhaa zingine zilizopo sokoni ni nini? Je utokaji wake ukoje?
Nina bidhaa kwa ajili ya wamama wanaonyonyesha.

Natafuta dealers ambao watanunua kwa bei ya jumla na kuuza kwa end user. Dealer atapata faida ya shilingi elfu kumi kwa kila bidhaa atakayouza. target market ni wamama/wadada wanaonyonyesha.

kwa maelezo zaidi PM me.

Sweetdada
 
sweetdada

sweetdada

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Messages
540
Likes
15
Points
35
sweetdada

sweetdada

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2011
540 15 35
Bado sana kwenye matangazo! Hujaweka sifa za kutosha kwa hiyo bidhaa yako isiyojulikana mpaka sasa.
Utofauti wake na bidhaa zingine zilizopo sokoni ni nini? Je utokaji wake ukoje?
Asante, najifunza kutokana na makosa, nisingeliona hilo kama si wewe.be blessed.

[FONT=&amp]Hiyo bidhaa inaitwa breastfeeding cover au nursing scarf, ni kwa ajili ya kusitiri mwanamke akinyonyesha, yani badala ya kutumia kanga sijui vitenge unavaa hiyo unajisitiri na sometimes utakuta mwanamke ananyonyesha bila kujali nyonyo lote nje, basi akiwa na hiyo anajisitiri vizuuri na anaendelea na maongezi na wenzake akiwa in public. Nchi za wenzetu inatumika sana hii kitu ni common sana kwa wamama wanyonyeshao.

Malighafi unaipata kutoka kwangu, nakuuzia kwa bei ya shilingi elfu 20 na recommended retal price ni elfu 30. Mimi mwenyewe kwa kuwa nauza rejareja huwa nawauzia kwa elfu 30.

kwa kuwa target market ni wanawake wanaonyonyesha, unaweza uza kweye maduka ya vitu vya watoto na maternity, kama unafahamiana na manesi wa clinics za watoto na wamama pia wanaweza kukusaidia kutangaza biashara, ndugu jamaa na marafiki pia, kama una duka la vitu vya watoto pia unaweza kuweka. Mtu anaweza kununua kama zawadi ya kumzawadia mama aliyejifungua pia badala ya kuwaza cha kununua.

Natumai maelezo yamejitosheleza[/FONT]
 
Forum statistics

Threads 1,252,214
Members 482,048
Posts 29,800,701