Business Opportunity


sweetdada

sweetdada

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Messages
540
Likes
15
Points
35
sweetdada

sweetdada

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2011
540 15 35
Nina bidhaa kwa ajili ya wamama wanaonyonyesha.

Natafuta dealers ambao watanunua kwa bei ya jumla na kuuza kwa end user. Dealer atapata faida ya shilingi elfu kumi kwa kila bidhaa atakayouza. target market ni wamama/wadada wanaonyonyesha.

kwa maelezo zaidi PM me.

Sweetdada
 
CHAI CHUNGU

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Messages
7,139
Likes
121
Points
160
Age
39
CHAI CHUNGU

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2012
7,139 121 160
Mhhhh!
Ni nini hiyo unayoifichaficha kama sembe we bi dada?
Au minyonyo ya kichina?
Au limbwata ili tusiende kugegeda nje ktk kipindi hicho kigumu cha kunyonyesha?
Anyway ngoja Kin'gasti aje maana yeye ni miongoni wa wanaonyenyesha kwa sasa.
 
Last edited by a moderator:
Kayla

Kayla

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
257
Likes
1
Points
35
Age
37
Kayla

Kayla

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
257 1 35
Nieleze mie ni mdada tunawezafanya kazi..nimama ninaenyonyesha pia
 
Z

Zion Daughter

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2009
Messages
8,937
Likes
70
Points
145
Z

Zion Daughter

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2009
8,937 70 145
Nina bidhaa kwa ajili ya wamama wanaonyonyesha.

Natafuta dealers ambao watanunua kwa bei ya jumla na kuuza kwa end user. Dealer atapata faida ya shilingi elfu kumi kwa kila bidhaa atakayouza. target market ni wamama/wadada wanaonyonyesha.

kwa maelezo zaidi PM me.

Sweetdada
Zitaje hizo bidhaa
 
sweetdada

sweetdada

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Messages
540
Likes
15
Points
35
sweetdada

sweetdada

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2011
540 15 35
[FONT=&amp]Hiyo bidhaa inaitwa breastfeeding cover au nursing scarf, ni kwa ajili ya kusitiri mwanamke akinyonyesha, yani badala ya kutumia kanga sijui vitenge unavaa hiyo unajisitiri na sometimes utakuta mwanamke ananyonyesha bila kujali nyonyo lote nje, basi akiwa na hiyo anajisitiri vizuuri na anaendelea na maongezi na wenzake akiwa in public. Nchi za wenzetu inatumika sana hii kitu ni common sana kwa wamama wanyonyeshao.

Malighafi unaipata kutoka kwangu, nakuuzia kwa bei ya shilingi elfu 20 na recommended retal price ni elfu 30. Mimi mwenyewe kwa kuwa nauza rejareja huwa nawauzia kwa elfu 30.

kwa kuwa target market ni wanawake wanaonyonyesha, unaweza uza kweye maduka ya vitu vya watoto na maternity, kama unafahamiana na manesi wa clinics za watoto na wamama pia wanaweza kukusaidia kutangaza biashara, ndugu jamaa na marafiki pia, kama una duka la vitu vya watoto pia unaweza kuweka. Mtu anaweza kununua kama zawadi ya kumzawadia mama aliyejifungua pia badala ya kuwaza cha kununua.

Natumai maelezo yamejitosheleza[/FONT]
 

Forum statistics

Threads 1,251,625
Members 481,811
Posts 29,778,120