Business mathematics, statistics and managerial economics teacher is available for evening hours

hiakaman

Member
Jun 27, 2011
40
5
Hi wana JF,
Kwa wamiliki wa colleges zenye masomo ya jioni,

please naomba part time ya jioni hasa kwa masomo ya hapo juu,

tuwasiliane kupitia

0714767040
0756 901637
Nipo dar es salaam

Pamoja tunajenga maisha
 
Watu kama wewe ni muhimu sana,kwa sababu ya upungufu wa instructors katika colleges zetu nyingi. Ila ningekushauri kutokuishia kujitangaza hapa tu. Bali pia uende katika colleges mbalimbali zilizo karibu nawe na uwaone wahusika.
 
Hi wana JF,
Kwa wamiliki wa colleges zenye masomo ya jioni,

please naomba part time ya jioni hasa kwa masomo ya hapo juu,

tuwasiliane kupitia

0714767040
0756 901637
Nipo dar es salaam

Pamoja tunajenga maisha
Nenda kwa paul mwl maarufu wa CPA review classes pale Zoom college magomeni akupe classes za NBAA Module A & B.lakini lazima uwe fiti kule hakuna longolongo maana time ni fupi na silabasi ni kubwa sana na wanafunzi wanataka umalize silabus ili waweze kusit for professional exams.jaribu pia kwenda pale NBAA ujue tution provider ili uombe.review wanafunzi wakikupenda utatengeneza pesa nzuri huku hubanwi na humo humo utapata wanafunzi wa OUT.kama upo shallow utajikuta peke yako darasani maana watu hawana tym ya kusubiri while wewe si mtungaji wa mitihani.ukiona vp kaombe rasmi vyuoni uchaguzi ni wako mkuu,kila lakheri.
 
kingine bro weka walau qualification zako ili pale ambapo fursa zinatokea inakuwa rahisi kujua kuwa ure the right person na pia kwa nini umependa part time y not full time?
 
Back
Top Bottom