mbezifundi
Member
- Sep 22, 2010
- 13
- 7
Wana JF
Je kuna M-TZ yeyote mwenye uzoefu na biashara au aliye jaribu kufanya biashara huko Comoro?
Je kuna M-TZ yeyote mwenye uzoefu na biashara au aliye jaribu kufanya biashara huko Comoro?
kuna jamaa alishazulumiwa huko hana hamu nako tena
Alifanya bz gani? nilikuwa na plan kujua habari za kuwauzia mbuzi miaka ijayo,kumbe jamaa ni zurumati!!!!!.Pole yake.
ng'ombe au biashara ya nyama inalipa.
Nilisikia biashara ya mbuzi inalipa,niliambiwa unaweza kuuza mbuzi kuanzia dollar 100.Na mimi najua hivyo kuwa nyama ya mbuzi/ng`ombe kule ni bonge la bz, ngoja tufuatilie zaidi.
eje mfanyaje za mnono kwezi Uwe makini ukokosea umeliwa ni watu wa mkopo so ukikopwa uwe na subra hata miaka kadhaa
Pima jiulize then chukua maamuzi
vipi upande wa mawasiliano, yaani biashara za simu etc..
Biashara ipo lakini ni matapeli sana wale jamaa...nilidhulumiwa ng'ombe mwaka mmoja uliopita baada ya kuingia mkenge kwamba nipeleke mzigo then nilipwe mzigo ukishafika..duh!!!mpaka leo ni stori tu nimefuatilia sana kulekule bila mafanikio na nikaingia gharama zaidi ...nikawa mpole....hawaeleweki kabisa wale jamaa
ng'ombe au biashara ya nyama inalipa.