D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,160
- 3,259
ahsante mkuu naomba mchanganuo biashara ya fresh juiceWakuu, nataka kuurudisha uzi huu kwenye kupumua tena. Moja wapo ya muelekeo mpya ni kuruhusu maswali na majibu hapa kwenye uzi.
Kama una swali kuhusu biashara yako na unadhani linaweza kujibiwa hapa, bandika hapa na wadau tukishirikiana tutakupa moja au mawili.