Business & Economic Forum

african2010

Member
Mar 31, 2010
98
12
Mabenki yananunua bonds za serikali, hivyo yanakosa pesa za kukopesha wananchi kwa kuwa bonds ina risk ndogo sana, hii ni hatari sana kwa uwekezaji hapa nchini, kwani wajasiliamali tunakosa mikopo.
 
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
kwahiyo tufanyaje?
 
Mabenki yananunua bonds za serikali, hivyo yanakosa pesa za kukopesha wananchi kwa kuwa bonds ina risk ndogo sana, hii ni hatari sana kwa uwekezaji hapa nchini, kwani wajasiliamali tunakosa mikopo.

Kwani ulishawahi kuenda kukopa benki ukatimiza vegezo vyote ukakosa mkopo?
 
Umeongea ukweli but information kama hizi ni high level ndo maana utapata criticism kutoka kwa wachangiaji. Investment kwenye bonds ni very attractive kwa banks na sababu ni kwamba gvt in less risks compared to the entrepreneurs. Consequences za hili ni pamoja na gharama kubwa za mikopo inayotolewa kwa wajasiriamali ( interest rate + other processing fees), kikubwa zaidi ni bureaucracy kwenye utoaji wa mikopo ( ni benki chache sana Tanzania zinatoa mikopo kwa haraka pale mkopaji anapokuwa ametimiza vigezo vyote).

Mabenki yananunua bonds za serikali, hivyo yanakosa pesa za kukopesha wananchi kwa kuwa bonds ina risk ndogo sana, hii ni hatari sana kwa uwekezaji hapa nchini, kwani wajasiliamali tunakosa mikopo.
<br />
<br />
 
Back
Top Bottom