Bush na Kikwete; Hizi ndio sababu za kupayuka kwetu?

Nyani Ngabu said:
I will go with Georgia's favorite son Dr. Martin Luther King Jr......he could have been anything he wanted to be but sacrificed his life for others.....

Nyani Ngabu,

..Thurgood Marshall and his team impressed me the most...unfortunately African Americans are not taking full advantage of the opportunieties that came frm Marshall's victories in the court.

Jasusi,Pundit,Kitila Mkumbo,

..you know hatuhitaji an exceptional orator kusonga mbele kimaendeleo.

..tunachohitaji ni economics guru cum resource manager aje na modest but achievable and far reaching goals kututoa kwenye umasikini tulionao.

..tunahitaji mtu mwenye uwezo wa ku-articulate malengo yetu into action plans.

..wakina Ketumile Masire na Festus Mogae sikuona kama wana uwezo wa ajabu wa kuzungumza, lakini they succeeded.
 
tunahitaji mtu mwenye uwezo wa ku-articulate malengo yetu into action plans.

Utawezaje ku articulate bila kuweza kuongea? Bila kuweza kuargue?

Kwa jinsi Kikwete anavyoongea ananipa shaka kama anaweza kufanya kazi yake hata ya paperwork tu achilia mbali ku deal na complex advisories.

I am not even looking for a guru, just give me somebody who is capable.Kikwete right now is the definition of a toothless yokel.
 
Pundit ni sera na implimentation!
Kuna mtu mwenye kujuwa siasa kama MBONGO?
Umesahau hata ndugu zetu wanasema tumekalia POLITIKI?
NO ACTIONS!
So nakubaliana na JOKA KUU.
 
Moja ya maana kubwa sana ya kuwa sera ni kuweza kuzieleza watu wengine wakazielewa, ukiwa huwezi kujieleza utaziuzaje sera ili ziweze kuwa implemented?
 
Nyani Ngabu et al,

There is a very strong positive correlation between cognitive ability and communication skills competence and, in particular, language competence. There is a plethora of evidence, well understood by any undergraduate first year psychology student, which shows that a language and communication handicap is a very good predictor of poor and disorganised intelligence.

This is to say language competence or incompetence provides the first impression of the level of intelligence in a speaker, which is why oratory ability and communication skills in general have for many years been used as reliable predictors of a political candidate's electability in many countries, except Tanzania of course!

I diametrically disagree with you on this one. As much as you claim that there is a plethora of evidence that supports a strong correlation between cognitive ability and communication skills competence I can also make the same claim about the opposite, which renders your argument inconclusive. I have taken a lot of science classes where the professors could hardly communicate the material to the students, yet they were PhD. holders from some of the prestigious institutions in America and around the world. Are you telling me that some of my "esteemed" professors in college are/ were not as intelligent just because they are not very good 'talkers'? If you tell me that both (being intelligent and articulate/ eloquent) can be true at the same time, I will not dispute that. But you can't tell me that A goes with B and B can't go without A, no sir!!
 
Moja ya maana kubwa sana ya kuwa sera ni kuweza kuzieleza watu wengine wakazielewa, ukiwa huwezi kujieleza utaziuzaje sera ili ziweze kuwa implemented?

SERA HUTAYARISHWA NA HUANDIKWA NA KUNADIWA.
Mbwembwe nyingine ni just POLITICS!

Hata ccm wangeacha POLITICS NA KUIMPLEMENT SERA ZAKE...BASI TUSINGEKUWA HAPA!

Nani hajuwi kuna sera nzuri sana tu ccm?
Sasa kama watu wa kuzinadi ndiyo kina KOMBA, NCHIMBI, MAKAMBA NA ROSTAMA..THEN NANI WA KULAUMIWA?

MWALIMU MWENYEWE NI WASAIDIZI WAKE WALIMWANGUSHA LICHA YA KUWA SAFI KWENYE POLITICS!

POLITIKI KUZIKALIA BILA ACTION NI UTUMWA WA KIMAWAZO!
 
Nyani Ngabu,
You are doing an injustice to Salim Ahmed Salim by grouping him among those whose English skills are questionable. Salim is a very skilled orator, both in English and Swahili. I used to enjoy his speeches in the UN. He could give Mwalimu a run for his money.

Jasusi, I've seen Salim a couple of times on C-Span...talking about Africa and Darfur and his years as the OAU's SG.....I couldn't follow what he was saying....his diction was bad....with some grammatical errors....the guy was just rambling.....but I cut him some slack....
 
Nyani Ngabu,

..Thurgood Marshall and his team impressed me the most...unfortunately African Americans are not taking full advantage of the opportunieties that came frm Marshall's victories in the court.

Jasusi,Pundit,Kitila Mkumbo,

..you know hatuhitaji an exceptional orator kusonga mbele kimaendeleo.

..tunachohitaji ni economics guru cum resource manager aje na modest but achievable and far reaching goals kututoa kwenye umasikini tulionao.

..tunahitaji mtu mwenye uwezo wa ku-articulate malengo yetu into action plans.

..wakina Ketumile Masire na Festus Mogae sikuona kama wana uwezo wa ajabu wa kuzungumza, lakini they succeeded.

JokaKuu,
Ni kweli hatuhitaji exception oration kuleta maendeleo. Lakini unapokuwa katika harakati za kumobilize masses behind your ideas, kama ilivyokuwa na MLK jr, wakati wa harakati za kugombea haki za kiraia hapa Marekani, na JKN wakati wa kampeni za uhuru wetu, oration inachukua center stage. Imagine Mwungana angekuwa ndiye founding father wetu. Wengi tusingeelewa nini sababu za kupigania uhuru.
 
Pundit,

..c'mon now...yaani hata uwezo wake wa kusukuma paper-work unautilia mashaka?

..mimi ninachoona ni kama he is over-streaching himself and the country.

..amechukua nchi katika wakati mzuri kuzidi ma-Raisi waliomtangulia. naogopa anaweza kumaliza Uraisi bila kuwa na lolote la msingi la kuonyesha na kujivunia.

Jasusi,

..nyakati zile za kugombea Uhuru ndiyo zilihitaji a talented orator/ instigator.

..huu wakati tulionao kwa kweli tunahitaji an economic manager. zaidi kujenga uchumi you need a TEAM that is capable and disciplined.

NB:

..off topic

..mmesoma kwamba Cubans have made a break thr' in some kind of Cancer vaccine? halafu jamaa they have a very advanced Bio-Technology industry.
 
Nyani Ngabu et al,

There is a very strong positive correlation between cognitive ability and communication skills competence and, in particular, language competence. There is a plethora of evidence, well understood by any undergraduate first year psychology student, which shows that a language and communication handicap is a very good predictor of poor and disorganised intelligence.

This is to say language competence or incompetence provides the first impression of the level of intelligence in a speaker, which is why oratory ability and communication skills in general have for many years been used as reliable predictors of a political candidate's electability in many countries, except Tanzania of course!

Mkumbo,
Either your measure of inteligence through oratorial skills is wrong or your understanding of inteligence is more psychological than factual. If language and communications skills were used to predict inteligence, most geniuses, including Eistein, would have failed.

Oratorial skills is an art, and even the worst perfoming student in a class can be a very good public speaker. Most Tanzanians, including JK, are very good Swahili orators as is their first language. If they have to be weighed on their communication skills, they have to be measured on what they know best, i.e. Swahili.

We are making to much of a deal of Kikwete's english, but frankly, it is good enough when accompanied with his charm, as we have seen how successful he has been in making friends.

What Kikwete should be striving for is not the Obama type oratorial skills, forget it, he will never have that. What he needs is at least four simple corrections to his leadership:

  1. Stop surrounding himself with friends who knows very little on what the country needs at the momment. Most of those friends are do nothing bosses and say nothing tough to him buddies. These are not the type of team players he need now.
  2. Get better economic advisors, ones with mixed eperiences, international and local. Whether they are from oposition, JF or elsewhere, it should't matter to him. Get the best ideas and sieve them to suit his policies.
  3. He should treat his presidency as a company CEO, where only results matter. His management team, i.e. the cabinet, is too big, too costly and very inefficient. Change it. Why carry on doing the same thing without getting different results if you are not stupid?
  4. Be serious in rewarding good perfomers and penalize the bad ones. It is the only way to make everyone accountable.
 
Pundit,

..c'mon now...yaani hata uwezo wake wa kusukuma paper-work unautilia mashaka?

..mimi ninachoona ni kama he is over-streaching himself and the country.

..amechukua nchi katika wakati mzuri kuzidi ma-Raisi waliomtangulia. naogopa anaweza kumaliza Uraisi bila kuwa na lolote la msingi la kuonyesha na kujivunia.

Jasusi,

..nyakati zile za kugombea Uhuru ndiyo zilihitaji a talented orator/ instigator.

..huu wakati tulionao kwa kweli tunahitaji an economic manager. zaidi kujenga uchumi you need a TEAM that is capable and disciplined.

NB:

..off topic

..mmesoma kwamba Cubans have made a break thr' in some kind of Cancer vaccine? halafu jamaa they have a very advanced Bio-Technology industry.

Umewahi kuziona hospitali zao zilivyo?
 
Hata social democracy ina chembe chembe za marxism. But that does not make it communism
NO!
Democracy ina chembe chembe za SOCIALISM! Umeji trick kwa kuweka "Social Democracy"

IDEALISTICALLY...UJAMAA NI SERA ZA KUFIKIRIKA KAMA ILIVYO MARXISM!

Make sense?
 
Umewahi kuziona hospitali zao zilivyo?

Wamarekani wenyewe wanapeleka ma dokta wao kusoma huko CUBA!
Hivyo kuhusu vitanda vyao ni muhimu uwaulize huko ALSKA.Kwani naamini kuwa kuna madokta waliosomea CUBA..Watakupa ukweli kama walienda kulazwa huko ama kusoma!
Vyovyote vile watakuelewesha.
 
Utawezaje ku articulate bila kuweza kuongea? Bila kuweza kuargue?

Kwa jinsi Kikwete anavyoongea ananipa shaka kama anaweza kufanya kazi yake hata ya paperwork tu achilia mbali ku deal na complex advisories.

I am not even looking for a guru, just give me somebody who is capable.Kikwete right now is the definition of a toothless yokel.

Pamoja na mapungufu ya Meshimiwa Kibaki, haongei sana hila kwa kipindi alichoongoza Kenya ameweza kuimalisha uchumi katika kiwango cha juu.

Hili hata wakenya wanaliona.
 
Wamarekani wenyewe wanapeleka ma dokta wao kusoma huko CUBA!
Hivyo kuhusu vitanda vyao ni muhimu uwaulize huko ALSKA.Kwani naamini kuwa kuna madokta waliosomea CUBA..Watakupa ukweli kama walienda kulazwa huko ama kusoma!
Vyovyote vile watakuelewesha.

Serikali ya Marekani haidhamini wanafunzi wanaosomoea udaktari kwenda kusomea Cuba.....
 
Wako FLORIDA KIBAO TU!
Sana sana huwa wanawapa testi ya kufanya ili wasajiliwe na bodi za states tofauti!
Hata Nursing ukisomea hapa Marekani halafu ukahama state ni lazima ufanye mtihani wa state utakayohamia!
Ni sawa na CPA kwa MBALI when it comes to Accounting!
 
Pamoja na mapungufu ya Meshimiwa Kibaki, haongei sana hila kwa kipindi alichoongoza Kenya ameweza kuimalisha uchumi katika kiwango cha juu.

Hili hata wakenya wanaliona.

kakindo,

Kuna tofauti kati ya kutoongea sana na kuongea pumba kila unapofungua mdomo.
 
Wako FLORIDA KIBAO TU!
Sana sana huwa wanawapa testi ya kufanya ili wasajiliwe na bodi za states tofauti!
Hata Nursing ukisomea hapa Marekani halafu ukahama state ni lazima ufanye mtihani wa state utakayohamia!
Ni sawa na CPA kwa MBALI when it comes to Accounting!

Sijui hata unazungumzia nini.....
 
Mkumbo,
Either your measure of inteligence through oratorial skills is wrong or your understanding of inteligence is more psychological than factual. If language and communications skills were used to predict inteligence, most geniuses, including Eistein, would have failed.

Oratorial skills is an art, and even the worst perfoming student in a class can be a very good public speaker. Most Tanzanians, including JK, are very good Swahili orators as is their first language. If they have to be weighed on their communication skills, they have to be measured on what they know best, i.e. Swahili.

We are making to much of a deal of Kikwete's english, but frankly, it is good enough when accompanied with his charm, as we have seen how successful he has been in making friends.

What Kikwete should be striving for is not the Obama type oratorial skills, forget it, he will never have that. What he needs is at least four simple corrections to his leadership:

  1. Stop surrounding himself with friends who knows very little on what the country needs at the momment. Most of those friends are do nothing bosses and say nothing tough to him buddies. These are not the type of team players he need now.
  2. Get better economic advisors, ones with mixed eperiences, international and local. Whether they are from oposition, JF or elsewhere, it should't matter to him. Get the best ideas and sieve them to suit his policies.
  3. He should treat his presidency as a company CEO, where only results matter. His management team, i.e. the cabinet, is too big, too costly and very inefficient. Change it. Why carry on doing the same thing without getting different results if you are not stupid?
  4. Be serious in rewarding good perfomers and penalize the bad ones. It is the only way to make everyone accountable.

KJ,

If your arguments have any merit, your examples are undermining that.

Einstein was not an orator, but he revolutionized communication with conceptual linguistic with his insighful phrases such as "the mind's eye" and countless jewels still widely quoted today.

I doubt Kikwete can even express himself eruditely in Swahili.
 
Back
Top Bottom