JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,034
Yule jamaa anayeitwa manyaunyau hujamuona!? We itakua mgeni mjini na tivii huijui...
Dah... Ndo kwanza nimeingia mjini na kuoneshwa computer... Na wakanifundisha kutumia JF tu... Hata kuvuka barabara hawajanifundisha!!!