Bush akila paka

JosephElly

JF-Expert Member
Jun 5, 2012
2,432
1,034
funny_bush_041.jpg
 
Yule jamaa anayeitwa manyaunyau hujamuona!? We itakua mgeni mjini na tivii huijui...

Dah... Ndo kwanza nimeingia mjini na kuoneshwa computer... Na wakanifundisha kutumia JF tu... Hata kuvuka barabara hawajanifundisha!!!
 
Dah... Ndo kwanza nimeingia mjini na kuoneshwa computer... Na wakanifundisha kutumia JF tu... Hata kuvuka barabara hawajanifundisha!!!

Nakupongeza sana mkuuna karibu sana ndo changamoto zenyewe usineweka hiyo picha hapa ningechangia wakati gani.
 
Hiyo siyo picha ya utani. That one is well able to eat a cat.Hiyo ni picha ya warning kwa wale watu wanaotaka kubishana na Bush Crime Family. Can you believe it,wale watu walikwenda kumpa hela Ayatolaah Khomeni acheleweshe kuwaachia hostages ili Reagan ashinde uchaguzi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom