Busara za Prof. Assad

Koko Mbwana

JF-Expert Member
Feb 17, 2018
263
250
Jembe la nguvu hilo,taasisi za kiislamu zinapaswa kumtumia vizuri mzee huyu kwa sasa kwa kua ana nafasi nzuri hasa baada ya kustaafu utumishi wake serikalini
 

Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
13,371
2,000
Kitu kinachokwaza taasisi nyingi za kiislam ni mifumo mibovu (structure).Hili lipo BAKWATA na taasisi nyingi ukitazama shule,vyuo na ... kote hali si nzuri
 

kirengased

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
3,662
2,000
Point sawa lakini hakuna SIASA hapo nimambo ya dini yanayowahusu waislamu!!
Niwaletee midpoint ya mapadre wetu nini? Ili mjifunze kujenga institutions imara msitegemee misaada ya waarabu
 
Top Bottom