Busara za jumamosi

Isack Elia

JF-Expert Member
Jul 9, 2016
331
474
Ng'ombe huweza kutoa maziwa na kufaidisha wanakijiji wengi tu lakini hapigi kelele, sasa inashangaza kuku akitaga yai moja tu ambalo haliwezi hata kumshibisha mtoto, atapiga kelele kijiji kizima kijue sasa anataga.

Ndugu zangu ipo hivi, watu wanaotenda kazi kiukweli uwa ni watulivu sana na kazi hujionesha zenyewe. Lakini wapo wanafanya vidogo tu na kutaka jamii yote ijue sasa kuna kilichofanyika.

Ukiamua kufanya kitu kwa ajili ya watu, fanya kwa ukimya tena kwa moyo wako wote. Kitafanikiwa na utabarikiwa!
 
Sungura, Panya na jamii zao huwa na mwendo wa kukimbia na kuruka muda wote na umri wao wa kuishi ni miaka 15.
Kobe ni mnyama mwenda pole, asiye na papara wala pilika, muda mwingi hujificha na kupumzika ndani ya jumba lake akikwepa maadui.
Umri wa kuishi kobe hufikia hadi miaka 300.

FUNZO: Mazoezi ni kiini macho na Uongo mtupu...!
Jipumzikie tu

C&P
 
Hahah hapa nabisha, kwa binadamu haipo hivyo ase.. Yule analala sana ama kuwa sehemu moja, ndo atafariki mapema kuliko mtu wa mishemishe.
 
Sungura, Panya na jamii zao huwa na mwendo wa kukimbia na kuruka muda wote na umri wao wa kuishi ni miaka 15.
Kobe ni mnyama mwenda pole, asiye na papara wala pilika, muda mwingi hujificha na kupumzika ndani ya jumba lake akikwepa maadui.
Umri wa kuishi kobe hufikia hadi miaka 300.

FUNZO: Mazoezi ni kiini macho na Uongo mtupu...!
Jipumzikie tu

C&P
Sawa mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom