Busara za Jecha zamuepusha Seif Hamad kufungwa jela miaka mitano

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,902
51,995
Kwa mujibu wa kifungu cha 42(5) cha sheria ya uchaguzi Zanzibar mtu yeyote anayejitangaza mshindi wa kiti cha uraisi kabla ya tume haijatangaza adhabu yake inahusisha kwenda jela miaka mitano au faini ya laki tano au adhabu zote pamoja Busara za Jecha zimemuepushia kifungo Seif.Sasa hizi angekuwa jela.

Kisome mwenyewe kwenye sheria ya uchaguzi ya Zanzibar hicho hapo

http://zanzibar.verxol.com/uploads/pdf/Election_Act_1984.pdf
 
Seif hakujitangaza mshindi, ila alijumsha kura alizopata kwakila kituo akatoa jumla yake.

Hakuna mahali Seif alisema ameshinda uchaguzi wa uraisi Znr.
 
Kwa mujibu wa kifungu cha 42(5) cha sheria ya uchaguzi Zanzibar mtu yeyote anayejitangaza mshindi wa kiti cha uraisi kabla ya tume haijatangaza adhabu yake inahusisha kwenda jela miaka mitano au faini ya laki tano au adhabu zote pamoja Busara za Jecha zimemuepushia kifungo Seif.Sasa hizi angekuwa jela.

Kisome mwenyewe kwenye sheria ya uchaguzi ya Zanzibar hicho hapo

http://zanzibar.verxol.com/uploads/pdf/Election_Act_1984.pdf

YEHODAYA, mengine muonage aibu. Maalimu amewaambia anaogopa trial? Jecha ni advocate?

Adhabu ya mtu anayejitangaza mshindi ni kufuta matokeo na uchaguzi mzima? Angejitangaza wa ACT ama yule ADC mngefuta matokeo?

Kama mnaushahidi kajitangaza, mpelekeni mahakamani akahukumiwe. Ninyi si mahakama na hamnwezi kuwafnaya Wtanzania wote majuha kama ninyi.

HATA MJIDAI KUSEMA NINI BADO MKO UCHI TU!. BADO NI MAJUHA NA MOTO MLIOUWASHA WA KUVUNJA KATIBA HAMWEZI KUUZIMA KWA UWONGO WENU WA KISHETANI USIOKOMA.
 
Weka hapa hiyo sheria inayowauzia watu wengine binafsi ama taasisi kujumulisha matokeo!.

Kwa mujibu wa sheria ya Uchaguzi wa Zanzibar kazi ya kujumlisha kura ni ya tume si ya Seif ,WEWE wala hawara WA MTU YEYOTE
 
Nashangaa hadi sasa wanamuacha..Sefu ni wakufungwa tu maana tumechoka sasa
 
Mbona Makamba alikuwa anajumuisha na kutangaza jimbo baada ya jimbo even kawatumia Wakenya
 
February Marope alitangaza pia matokeo na idadi ya wabunge kabla ya tume naona mnajisahaulisha.
 
Hamna haja ya kuuonyesha ujinga wenu hapa tunachokijua ni kuwa MNAFANYA UCHAGUZI WA VYAMA VINGI ILI KUDHILIZISHA JUMUIYA ZA KIMATAIFA KUWA NANYI NI NCHI YA KIDEMOKRASIA ILA KIUKWELI SIO HIVYO, HAMKO TAYARI KUACHIA MADARAKA NA HAMTAACHIA MADARAKA KWA NJIA YA VIKARATASI VYA KURA KUNA MNALOLITAFUTA KWA WATZ NA MTALIPATA TU MUDA UTAAMUA NA UZURI WA MUDA HAURUDI NYUMA KAMA SIO SISI WANAOKUJA WATAWAONYESHA MNACHOKITAKA.
 
Kwa mujibu wa kifungu cha 42(5) cha sheria ya uchaguzi Zanzibar mtu yeyote anayejitangaza mshindi wa kiti cha uraisi kabla ya tume haijatangaza adhabu yake inahusisha kwenda jela miaka mitano au faini ya laki tano au adhabu zote pamoja Busara za Jecha zimemuepushia kifungo Seif.Sasa hizi angekuwa jela.

Kisome mwenyewe kwenye sheria ya uchaguzi ya Zanzibar hicho hapo

http://zanzibar.verxol.com/uploads/pdf/Election_Act_1984.pdf

Natamamani nikuone kwa macho yangu ulivyo na kupitia akili koote huko. Bara Lowassa alijitangaza kushinda kwa 62 percent, Je kura zilifutwa !!? Hata ilimzuia Lubuva kumalizia matokeo !!?

Hili la Jecha ni kutii amri za ngazi ya uteuzi (mamlaka ya juu) bahati mbaya mwenzetu umekuwa zaidi ya mfuasi wa CCM husikii wala huoni.

Wakumbushe majipu na magamba wenzio kuwa ukitaka haki tenda kwanza haki. UKWELI NI KUWA ZANZIBAR MMESHINDWA
 
Ni sawa hili lingekua stahiki, lakini kwa busara zilizotumika halikufanyika, ila pia naye anajaribu kuficha ukweli kua kuna maeneo ambayo alicheza rafu, ila kina sisi wananchi hatuambiwi na hao wanaojiita wapinzani, wanayozungumza ni yale tu ambayo yatawafanya waonekane wananyanyaswa ila nia yao ni madaraka tu.
 
Back
Top Bottom