Busara itumike kuiepusha CCM na ukanda uchaguzi 2017

KADA08

Member
Dec 2, 2017
44
150
Siasa za kibaguzi kwa misingi ya ukanda, ukabila, udini, elimu, uchumi n.k havijawahi kuwa moja ya sifa ya kumpata kiongozi wa CCM au jumuiya zake.

Hivyo nawasihi wajumbe wasijekuingia katika mtego huu wa kuwajadili na kuwachagua viongozi kwa kuzingatia mambo hayo.

Sifa ndizo zikatupatie kiongozi. UVCCM imara na yenye sauti ya ushawishi kwa vijana inawezekana kwa kumpata kiongozi anayeifahamu na aliyeiishi kiuongozi.

Kheri Denis James mporipori anatutosha!
 
Mkwaruu

JF-Expert Member
Mar 13, 2017
2,942
2,000
Chama Cha Mapinduzi kimejijenga na kuwa muumini wa umoja na kuepuka kujipambanua kuwa chama cha ukanda, udini na ukabila.

Mara zote imekuwa si desturi ya chama hiki kujadili upatikanaji wa viongozi kwa misingi ya ukanda, ukabila na udini. Lakini tangu kuanzishwa kwake uongozi wake umekuwa wenye sura ya kitaifa zaidi.

Katika serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Mhe Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli kumekuwa na malalamiko mengi kutoka upinzani na wananchi wa kanda ya kaskazini kuwa teuzi nyingi zimekuwa zikiwabeba watu wa kanda ya ziwa zaidi hali ambayo ni hatari kwa umoja wetu kama taifa.

Katika uchaguzi mkuu huu wa mwaka 2017 ndani ya CCM hususani katika jumuiya ya UWT na UVCCM wagombea walio wengi wanatoka kanda ya ziwa mfano nafasi za uenyekiti.

Kwa mfano katika nafasi ya uenyekiti wa UWT karibu wagombea wote wanatoka kanda ya ziwa. UVCCM pia wagombea wanne wanatoka kanda ya ziwa kati ya 7.

Hatari iliyopo ni kupata mwenyekiti wa UWT na UVCCM Taifa kutoka kanda ya ziwa huku mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye ndiye Rais wa JMT naye anatoka kanda ya ziwa ambao wote kwa pamoja ni wajumbe wa kamati kuu ya CCM.

Hili likitokea kisiasa si zuri. CCM itatajwa kuwa na siasa za ukanda huku serikali nayo ikituhumiwa kufanya teuzi zake kwa kuipendelea kanda ya ziwa.

Hili likitokea ni hatari sana kwa kanda ya kaskazini, nyanda za juu kusini na Dar es salaam kisiasa. Ni vyema wajumbe wa vikao au mikutano ya uchaguzi kuona umuhimu wa kuchagua viongozi katika jumuiya kwa namna ambayo uwakilishi wenye sura ya kitaifa unapatikana. Narudia tena haitaipa taswira nzuri CCM pale mwenyekiti wa UWT, UVCCM na CCM Taifa watatoka kanda moja.

Tafakari.

KADA08
Fikra Huru.
Mku kwa makundi aliyopo haya hayaepukiki kumbuka mtu anataka kuweka imaya hata akiwa nje ya uongozi atakuwa anaongoza kwa rimoti akiwa nje
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
37,386
2,000
Nilishasema wanaccm kaeni kimya wakati mwenyekiti wenu kwa udhaifu wake wakushindwa siasa za upinzani aue upinzani. Kitakachotokea ni siasa za ukanda na ukabila kuwa wazi kwani hadi sasa zipo tayari ila zinafichwa na uwepo wa vyama vya upinzani. Umoja wa ccm unachangiwa na uwepo wa upinzani, ila upinzani ukifa utaanza upinzani wa kikabila na hapo ndio tutaanza kulia. Mchelea mwana kulia ....
 
Ngaranalo

JF-Expert Member
Sep 7, 2017
336
250

Mkuu, hakika kama wewe ni mwana CCM, huwezi kukubali kosa hili lilofanywa na vikao vya maamuzi kupendekeza wagombea, mimi naependa kweli ccm lkn sikubali kabisa kuona majina manne kati ya 7 yaliyopendekezwa na vikao wanatoka kanda ya ziwa, mbaya zaidi watatu ni kabila moja (wasukuma) na wawili wanatoka mkoa mmoja wa mwanza.

Yani wanagombea watu 113 unashindwa kupendekeza majina kulingana na kanda? Sisi Vijana hatukubali hili

Mbaya zaidi hawa wasukuma wanasema Mh, Rais Magufuli anawaunga Mkono sasa kama ndivyo ni vyema wangependekezwa wenyewe tu tujue.

Leo Hii tunaletewa Shoga Khery James anayeungwa Mkono na mashoga wenzie, tunaletewa Mathias Kipala Mlevi, mzinzi na fisadi wa kufoji umri, hatukubali
 
KADA08

Member
Dec 2, 2017
44
150
Mku kwa makundi aliyopo haya hayaepukiki kumbuka mtu anataka kuweka imaya hata akiwa nje ya uongozi atakuwa anaongoza kwa rimoti akiwa nje
Ni hatari kuwapata viongozi wakuletewa na wakubwa badala ya kuwachagua kw a utashi wetu. Naamini wajumbe wataamua kwa busara
 
Mkwaruu

JF-Expert Member
Mar 13, 2017
2,942
2,000
Ni hatari kuwapata viongozi wakuletewa na wakubwa badala ya kuwachagua kw a utashi wetu. Naamini wajumbe wataamua kwa busara
Mku Sasa hivi nani wakupinga hayo kama jina la chama halina nafasi unategemea jipya labda kwa kuwa mpango umevuja wanaweza kubatilisha
 
ndeambase

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
626
500
watoke tu kwani ndivyo wanavyotaka kama kaskazini ndo balaa kabisa hakuna kiongozi alieteuliwa kushika nyadhifa hata mmoja kwa chuki iliyopo
 
Said Stuard Shily

JF-Expert Member
Jul 18, 2017
1,463
2,000
Jamani Bavicha tena mko kzn kufuatilia uchaguzi wa Uvccm?uchaguzi huu tena umekuwa km teuzi km ambavyo mmekuwa mkitudanganya teuzi zimekuwa zikiwapita kushoto huku uchu wa madaraka ukiwa umetamalaki ndani ya chama cha waasisi wa ukanda ohooo safari hii ni zamu yetu Mara mpeni Kenyatta kura.
 
gemmanuel265

JF-Expert Member
Feb 16, 2016
8,500
2,000
Nilishasema wanaccm kaeni kimya wakati mwenyekiti wenu kwa udhaifu wake wakushindwa siasa za upinzani aue upinzani. Kitakachotokea ni siasa za ukanda na ukabila kuwa wazi kwani hadi sasa zipo tayari ila zinafichwa na uwepo wa vyama vya upinzani. Umoja wa ccm unachangiwa na uwepo wa upinzani, ila upinzani ukifa utaanza upinzani wa kikabila na hapo ndio tutaanza kulia. Mchelea mwana kulia ....
Well said mkuu!
 
Lusungo

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
21,593
2,000
Mkuu, hakika kama wewe ni mwana CCM, huwezi kukubali kosa hili lilofanywa na vikao vya maamuzi kupendekeza wagombea, mimi naependa kweli ccm lkn sikubali kabisa kuona majina manne kati ya 7 yaliyopendekezwa na vikao wanatoka kanda ya ziwa, mbaya zaidi watatu ni kabila moja (wasukuma) na wawili wanatoka mkoa mmoja wa mwanza.

Yani wanagombea watu 113 unashindwa kupendekeza majina kulingana na kanda? Sisi Vijana hatukubali hili

Mbaya zaidi hawa wasukuma wanasema Mh, Rais Magufuli anawaunga Mkono sasa kama ndivyo ni vyema wangependekezwa wenyewe tu tujue.

Leo Hii tunaletewa Shoga Khery James anayeungwa Mkono na mashoga wenzie, tunaletewa Mathias Kipala Mlevi, mzinzi na fisadi wa kufoji umri, hatukubali
Mkifika mbele ya mwenyekiti mnafyata mkia na kumtukuza then mkitoka mnakuja kulia lia huku!!
 
usungilo

JF-Expert Member
Aug 9, 2012
527
500
Wakikosa wapinzani wataanza kubaguana wao Kwa wao Kwa ukabila na ukanda.

Maana upinzani umeshawekwa chini ya polisi
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
79,151
2,000
Nani kakudanganya kwamba ccm inapokea ushauri ? CCM inaendeshwa na watu wawili tu , mmoja anaitwa Makonda , hawa pamoja na vibaraka wao akina Kayombo ndio wamejimilkisha chama .
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom