Bus la Hood lagongana uso kwa uso na Fuso eneo la mikumi

Ndechumia

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
1,103
418
Hood Bus servirce kutoka Iringa limegongana na Fuso eneo la mikumi na kuwaka moto. Inasemekana ajaali hiyo imesababishwa na watu wanaochoma moto kandokando ya barabara kwa lengo la kuweka mazingira safi. Wachomaji hao walisababisha wingu zito la moshi barabaran lililomfanya dereva kutoweza ona vizuri na kusababisha ajali hiyo. Basi lilipinduka na kuangukia kwenye moto hali iliyofanya liteketee , hata hivyo baadhi ya majeruhi wamepelekwa hosp ya mkoa moro. Tuwaombee wapate nafuu.
 
Picha za ajali ni hizi hapa
hood.jpg hood1.jpg hood2.jpg
Ajali imetokea mikumi leo afternoon,basi la Hood limegongana na lori,basi limeungua lote.lilikua linatoka Mbeya to Arusha!
 
Back
Top Bottom