Bus la Dar express lawaka moto.....

MOSOLIN

Member
Feb 6, 2009
17
4
Bus la kampuni ya Dar Express lilokuwa likitoka Dar kwenda Rombo,liliwaka moto maeneo ya Kabuku,kwa taharifa ni mtu mmoja ndio aliye jeruhiwa na kukimbizwa hospital,ambaye ni fundi wa basi hilo,abiria wanadai kuwa basi lilikuwa mkweche kiasi kwamba wakiwa njiani vehicle inspecta alilikangua na kilipinga fine ya 150,000/=......na kuliachia kuendelea na safari lakini halikufika mbali ndipo moshi ukaanza kufuka na abiria wakaamza kulalama kuwa basi lina ungua,na kuanza kuruka hovyo madirishani.........Lakini wapata huduma ya basi lingine lilokuwa linakuja nyuma....
 
hayo mabasi ya dar express mi nishaacha kuyapanda siku nyingi. kwanza kero yao kubwa ni kufaulisha abiria kwenye mizani
 
hayo mabasi ya dar express mi nishaacha kuyapanda siku nyingi. kwanza kero yao kubwa ni kufaulisha abiria kwenye mizani

Nadhani ni bahati mbaya tu, ama total ignorance ya njia hiyo ya Rombo na mmiliki wa mabasi hayo.Katika biashara ya mabasi/usafirishaji hivi sasa Tanzania, kampuni inayojitahidi angalau kwa mabasi kiwango ni hii Dar Express
 
Ajali ni nyingi sana,ukweli uliopo ni uzembe wa kibanadamu na si mpango wa Mungu kama wanasema watu.
 
Tumshukuru Mungu hakuna watu waliowaka moto. Ila magari mengi ya Rombo mengi ni mkweche sana.
 
Unajiuliza hilo bus limepitaje pale getini ubungo terminal wkt kuna vehicleinspetor!!RUSHWA NI KITU KIBAYA SANA.
 
gari ushaona bovu faini ya nini badala ya kuban safari zake!trafic wanachangia sana watu wafe!sijui nifanye nini mimi jamani na hawa mbw....watu wanateketea sababu ya tamaa za hawa vibk!!!!!!!!!!!!!
 
gari ushaona bovu faini ya nini badala ya kuban safari zake!trafic wanachangia sana watu wafe!sijui nifanye nini mimi jamani na hawa mbw....watu wanateketea sababu ya tamaa za hawa vibk!!!!!!!!!!!!!

Nchi hii ukiwa na pesa utauziwa hata ikulu
 
wanapeleka kijijini kwao mabasi mabovu jamani mchagga hebu usiwaue watu wako wape kitu freeesh hujui hao ndio wateja wako wakubwaa,,,n vehicle inspector should be charged kwa uzembe kazini laki na nusu na maisha ya watu kipi bora???mjinga kabisa...
 
Wivu wa kike huo ajali ni ajali 2!shukuru hakuna maisha yaliyopotea!
 
Nilikuwa nasikia sifa za hii Kampuni nikaamua kuijaribu ila sikuona kabisa kile nilichokuwa nasikia kwa watu zaidi ya kero ya mwendo kasi pamoja na uchakavu wa asilimia kubwa ya magari yao, i prefer Kilimanjaro mara elfu!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom