Bus la kampuni ya Dar Express lilokuwa likitoka Dar kwenda Rombo,liliwaka moto maeneo ya Kabuku,kwa taharifa ni mtu mmoja ndio aliye jeruhiwa na kukimbizwa hospital,ambaye ni fundi wa basi hilo,abiria wanadai kuwa basi lilikuwa mkweche kiasi kwamba wakiwa njiani vehicle inspecta alilikangua na kilipinga fine ya 150,000/=......na kuliachia kuendelea na safari lakini halikufika mbali ndipo moshi ukaanza kufuka na abiria wakaamza kulalama kuwa basi lina ungua,na kuanza kuruka hovyo madirishani.........Lakini wapata huduma ya basi lingine lilokuwa linakuja nyuma....