Bus kampuni ya haraka classic yapata ajali

wakukurupuka1

JF-Expert Member
Feb 17, 2023
525
1,182
Wiki hii toka jumatatu bus zimekua zinadondoka tuu
1:kiazi
2:kimotco
3:katarama
4:new force (imegongana uso kwa uso)
5:Baraka classic


48c0d12c-f6cf-4334-b454-50934a698c92.jpg

69400069-afc7-4539-8347-473c8e02dc1c.jpg
 
Baraka Mtwara to Dom zinakimbia sana bila sababu za Msingi hata kwenye Barabara mbovu za michepuko. Nilikua natoka Mtwara kufika Mikindani tu ikabidi niwapige Biti ndo Safari ikawa sio ya roho mkononi
mbona ulichelewa kupiga biti mzee kutoka mikindani hadi mkanaled si kugusa tu
 
Back
Top Bottom