Bus Coaster Inataka Kazi

Governor of Bettors-GB

JF-Expert Member
Jul 14, 2013
9,872
8,892
Wakuu hii gari bado ipo Zanzibar sijaisafirisha kuja home Dar,

Nilikuwa na wazo la kuifanya Dalala lakini BRT ndio naona itanivurugia mipango.
Nilitaka kuiweka iwe STAFF BUS kwenye Taasisi yoyote,Hotel,Shule etc
Uzoefu wangu ni wa viSuzuki Carry na Boda boda maana ndio ninavyo muda mrefu ila huko sipo vizuri.


Wazoefu nipeni uzoefu wa pande hizo za biashara au wazo jipya
 

Attachments

  • toyota coaster 26.jpg
    toyota coaster 26.jpg
    40.4 KB · Views: 179
Lilete tu peleka sehemu za kukodishia magari kama biafra na vijiwe vingine mfanye kazi lina muonekano si mbaya.Na uwezi litafutia kazi bado liko Zanzibar

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom