Burundi yapiga marufuku uingizaji wa mahindi na unga kutoka nje

Tanzania is an Agricultural country.
In Agricultural country there is Agriculture.
I cannot live a dignified life on the crops i grow.
Shida nini?
 
Mkuu utanyimwa posho shauri yako...
Serikali ya Burundi imepiga marufuku uingizaji wa mahindi na unga nchini humo kutoka nje ya nchi wakihofia kuwemo kwa sumu kuvu katika punje za mahindi.

Marufuku hiyo itadumu kwa miezi sita kuanzia 08/03/2021

My take; Tanzania tujipange vizuri haya ndio masoko yetu.

Pia soma > Kenya yatangaza kutopokea mahindi Tanzania na Uganda

Maendeleo hayana vyama!

---
Burundi has banned the importation of maize grain over toxins, Chimp Corps report.

It’s the second country after Kenya to ban grain imports this March over the same reasons.

Burundi Minister of Commerce Immaculate Ndabaneze said in a statement this Tuesday that, “There is a ban on importation of grains in Burundi this season because of aflatoxins and mytoxins.

Aflatoxins are a family of toxins produced by certain fungi that are found on agricultural crops such as maize (corn), peanuts, cottonseed, and tree nuts.

Mycotoxins are naturally occurring toxins produced by certain moulds (fungi) and can be found in food.

The moulds grow on a variety of different crops and foodstuffs including cereals, nuts, spices, dried fruits, apples and coffee beans, often under warm and humid conditions.

Minister Ndabaneze said the importation ban will last 6 months.

The development comes at a time Uganda is furious over the trade restrictions being imposed by neighboring countries.

Uganda remains open to imports from its neighbors.

The Speaker of Ugandan Parliament Rebecca Kadaga today directed government to present a statement briefing the country on what action is being taken.

“We shall take our resolution whether the government comes here (Parliament) or not,” charged Kadaga.

Kadaga hinted on possible reciprocal action against neighboring countries implementing protectionist policies which are against the spirit of the East African Community.

32E25959-7010-4AA6-9F87-874473AE237E-564x800.jpeg

Burundi’s statement banning importation of maize​

During today’s plenary session, MP Abdu Katuntu said, “It is not a favour for our people to trade with Kenya. This has been going on for long and we need to have action taken.”

Legislators expressed concerned by what they termed as “unfair treatment” by other countries in the region.

Hon Elijah Okupa said this was not the first time Ugandan traders were being treated that way.

“We need immediate action from government; the Prime Minister should come and brief this House on the action being taken,” said Okupa.

Kenyan media reports indicated that maize imports from Uganda rose five-fold in January compared to a similar period last year as traders and millers rushed to bring in the grain in anticipation of a shortage.

Data from Kenya’s Ministry of Agriculture showed the volume of maize brought into the country went up to 523,000 bags during the review period from 101,000 in January 2020, an increase of 418 percent.

The effects of the importation were being felt in the North Rift where the price of the produce had started coming down on account of increased supply in the market.

This could possibly explain Kenya’s reaction – to protect its farmers from low maize prices.

Kenya also banned importation of poultry products from Uganda.

However, experts say Ugandan institutions must enable farmers improve harvest and post harvest handling before they can negotiate for high premiums and sustainable supply of agricultural products in the market.

The institutions responsible for standards include Uganda National Bureau of Standards (UNBS), Uganda Grain Council and Trade Ministry.

Source: Now Burundi Bans Maize Imports
 
Umeambiwa mahindi na unga vyote ni marufuku!
Ndiyo lakini ninaamini chanzo ni mahindi yetu kukutwa na hiyo sumu ya aflatoxin. Tungalikuwa tunauza nje unga uliokobolewa na kusagwa hapa hapa kwetu na kuthibitishwa usalama wake na TBS kama unafaa kuwa export material, hali hii haingetukuta. Sasa hivi hakuna nchi ambaye itakubali kununua mahindi na unga wake kutoka Tanzania kwani Kenya imetangazia ulimwengu wote kwamba bidhaa yetu hii ina sumu hatari ya aflatoxin! Itatuchukua muda mrefu kujinusuru. Baadaye watasema hata mchele, karanga na maharage yetu yana aflatoxin. Tuboreshe bidhaa zetu na tutafute soko nje ya EAC hususani uarabuni na uchina. Soko la EAC liko dominated na Kenya ambao mara nyingi huwa hawatutakii mema. Tuachane nalo. Sasa hivi Kenya wana soko lao la EPA.
 
Tunatakiwa kuwauzia unga wa sembe. Hii ya kusafirisha mazao ghafi matokeo yake ndiyo hiyo. Mahindi yakikobolewa hiyo aflatoxin inabaki kwenye pumba. Hizo pumba ni chakula kizuri kwa kuku, nguruwe na mifugo mingine na hazina madhara kwa mifugo hii hata kama ina aflatoxin. Tunaweza hata kuuza nje hizo pumba.
Seconded
 
Hawa maswahiba nao wanatuonea wivu au wanatumiwa na mabeberu
 
Baada ya VITA nchi kama Korea Kusini na Japan zilifanikiwa kwa kiasi kikubwa kujenga chumi zao kwa kuboresha mifumo yao ya elimu na kuondoa kiasi kikubwa cha watu kwenye kilimo, kuelekea kwenye chumi za viwanda na bandari etc. Pengine hii ni wake-up call kwetu kuachana na petty things / people na kubrush shoulders kwenye vitu / watu wa maana.
Nchi inajengwa na Wasomi,sasa imagine wasomi waandamizi wa Nchi hii ni type ya wakina Kabudi,Mkumbo,Abbas,yule Dr wa NIMR na matakataka mengine.
 
Ndiyo lakini ninaamini chanzo ni mahindi yetu kukutwa na hiyo sumu ya aflatoxin. Tungalikuwa tunauza nje unga uliokobolewa na kusagwa hapa hapa kwetu na kuthibitishwa usalama wake na TBS kama unafaa kuwa export material, hali hii haingetukuta. Sasa hivi hakuna nchi ambaye itakubali kununua mahindi na unga wake kutoka Tanzania kwani Kenya imetangazia ulimwengu wote kwamba bidhaa yetu hii ina sumu hatari ya aflatoxin! Itatuchukua muda mrefu kujinusuru. Baadaye watasema hata mchele, karanga na maharage yetu yana aflatoxin. Tuboreshe bidhaa zetu na tutafute soko nje ya EAC hususani uarabuni na uchina. Soko la EAC liko dominated na Kenya ambao mara nyingi huwa hawatutakii mema. Tuachane nalo. Sasa hivi Kenya wana soko lao la EPA.
Hata hihyo Kenya ni wa kupambana naye tuu tukisema tuoimbie soko la mahindi atakuja na mengine...mwishowe tutakua inferrior na atatusumbua sana.. hapa ni kufany kila jitihada za kupambana naye na kuishinda hii vita
 
Majirani wanazidi kukataa mahindi

Kenya bans maize imports from Tanzania and Uganda | Bottomline Africa

Tunatakiwa kuwauzia unga wa sembe. Hii ya kusafirisha mazao ghafi matokeo yake ndiyo hiyo. Mahindi yakikobolewa hiyo aflatoxin inabaki kwenye pumba. Hizo pumba ni chakula kizuri kwa kuku, nguruwe na mifugo mingine na hazina madhara kwa mifugo hii hata kama ina aflatoxin. Tunaweza hata kuuza nje hizo pumba.
kwani wao wakikoboa sumu haitoki?mbona hawayataki sasa
 
Back
Top Bottom