Burundi yaongoza kwa rushwa katika ofisi za umma

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,007
9,873
Jarida la Kimataifa la Transparency limeitaja Burundi kama nchi yenye rushwa nyingi katika ofisi kwa ukanda wa Afrika Mashariki ambapo imekuwa nchi ya 165 katika nchi 180 duniani

Tanzania imekuwa ya 94 huku Kenya ikiwa ya 142, Uganda imekuwa ya 142. Nchiyenye nafasi nzuri Afrika Mashariki ni Rwanda ambayo ni ya 49

Nchi ambazo zina kiwango kidogo cha rushwa Duniani ni Denmark, New Zealand, Finland, Singapore, Sweden huku zenye rushwa nyingi zikiwa Venezuela, Yemen, Syria, Somalia na Sudani Kusini
 

Attachments

  • Corruption Perceptions Index 2020.pdf
    2.1 MB · Views: 17
Back
Top Bottom