Burundi yakataliwa kujiunga SADC

Kwani Rwanda ni mwanachama wa SADC? Hata Burundi haina uwezo wa kulipia gharama na michango ya uananchama wa SADC; wa EAC ni shida iwe kuongeza mzigo mwingine.
 
Nafikiri kiukweli tz tumeingia kwa hisani tulizowafanyia ktk kupigania Uhuru. Pia kuvunjika kwa EAC ile ya awali kulitufanya uwe rahisi lkn siamini km kuna fursa labda kupeleka Timu ya TAIFA tu na wakubwa kila posho nyingi za vikao na safari.
Kama kunakuza uchumi basi tz tulitakiwa tuwe vizuri kushinda mwenzetu wenye JUMUIYA 1.
 
Mnamkuza sana Kagame,hana influence hizo mnazozisema.
Mmeropoka (samahi kama nimewaudhi)...

Burundi anafanya hivi ili kutafuta ulinzi kwasababu Rwanda anamuonea sana,..

Kama unakumbuka Second Congo War (kabila) aliokolewa na SADC.

Pia kwa m23 ,Congo iliokolewa na SADC, Rwanda anafanya chokochoko kwa mwenzie ili amuweke mtutsi pale Burundi, na hata ukiangalia sababu ya Burundi kukataliwa ni 'mahusiano mabaya na Rwanda'...

Hata haya matokeo usikute yapo influenced na Kagame kama mnavyomjua alivyo master mind, anajua fika Burundi akijiunga SADC hatoweza kumgusa wala kumletea vurugu tena.......
 
What's the benefit of joining these regional groupings and what have we achieved as a nation since joining these groupings, aren't these groupings another talk show?
 
Hizi jumuiya ni za kukaa na kunywa pombe na mademu tu hakuna cha maana
Hua najiuliza kuna nini cha maana wananchi wa nchi wanachama wanapata? leo kuna shida kule Sudan kusini na Kaskazini ...je unaweza kuambia wananchi kua nchi yao ni wanachana wa SADC sijui AOU wakakwelewa? bora UN make wanapata vi msaada. Eti watu wlikwisha kaa madarakani miaka na kutesa wananchi wao nao wanachangia jinsi ya kuleta maendeleo kwenye nchi zingine wakati kwake amna kitu.
 
Hizo jumuiya ni za majungu kama hiyo ya SADC wanaenda kupeana mbinu za kuiba kura ili vyama vya uhuru viendeler kutawala milele
 
Nafikiri kiukweli tz tumeingia kwa hisani tulizowafanyia ktk kupigania Uhuru. Pia kuvunjika kwa EAC ile ya awali kulitufanya uwe rahisi lkn siamini km kuna fursa labda kupeleka Timu ya TAIFA tu na wakubwa kila posho nyingi za vikao na safari.
Kama kunakuza uchumi basi tz tulitakiwa tuwe vizuri kushinda mwenzetu wenye JUMUIYA 1.

Kwa kizazi kipya wewe ukiwa mmojawapo siyo vibaya ukasoma hii historia ujue nini kilianzisha hii kitu

The origins of SADC are in the 1960s and 1970s, when the leaders of majority-ruled countries and national liberation movements coordinated their political, diplomatic and military struggles to bring an end to colonial and white-minority rule in southern Africa. The immediate forerunner of the political and security cooperation leg of today's SADC was the informal Frontline States (FLS) grouping. It was formed in 1980.
Hapo ndipo Tanzania imeingia katika hiyo jumuiya kama mmoja wa waanzilishi. Muwege mnajitahidi hata kuisoma historia badala ya kumwaga pumba jamvini.

Hata mzee Juma Mrisho Ngulimba wa Ngulimba alilijua hilo

Ningewashauri Burundi wajiunge na OIC ni jumuia.ya nchi za Kiislamu ambapo hata UGANDA wamo, basi wangekuwa wamefanya jambo la.maana sana!
 
Burundi afadhali wajiunge na Chadema kuliko kujiunga na magenge ya wahuni haya kama akina Kagame na huyu Nduli wa kwetu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom