Burundi wakamata madereva 12 kwa kuchakatua mafuta

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,147
Wakati tanzania watu wakiongeza station za mafuta na kuvunja nyumba za watu kuweka ujenzi wa shell huko bujumbura imani imewashinda baada ya kuwakuta wenzao rwanda wao wamekamata madereva 12 wakiwa na mafuta yaliochakatuliwa lori 12 full

zoezi hili limeanza rasmi alisikika mkuu wa usalama wa burundi na kusema lazima tuweke heshima kwa jamii kama wao awawahehsimu watu wao si tunaeshimu magari yao...alipoulizw a mmoja wa wahusika wa magari mh hanscope alisema kabisa na wawaweke ndani kabisa wametuuliza masoko yetu rwanda sasa wameanza bunjumbura...baadhi ya wanafamilia wamekuwa wakijikusanya kuomba serikali
kusaaidia familia zao wakidai madereva wengi wana familia wameziacha na awajui wataishije...


Ombi kama wewe unajuana na mkuu wa burundi naomba swala hili awaweke ndani siku ya kwanza tu wakienda mahakamani na kusiwe na mdhaman hata siku moja...wakifika na hukumu nde...itasaidia heshima kama familia inawapenda watawafwata bujumbura na mi niko radhi kuwasaidia kupata visa ya bujumbura jamani


magari yetu yamearibika kwa upumbavu wa awa watu sasa tumechoka ...ewura wanakula nao wanahisi watakula na watu wa nje kigali bujumbura ainunuliki jamani wameridhika na shida zao
 
Back
Top Bottom