pantheraleo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 691
- 878
Habari wakuu,
Serikali ya Burundi imesema haishiriki tena Mazumgumzo na upinzani ya kuleta amani Burundi yanayosimamiwa na rais Mstaafu wa Tanzania Benjamin Mkapa.
Burundi imesama haitatuma Wawakilishi wake kwenye mazungumzo hayo yanayofanyika Arusha kwa kile kilichodaiwa kuwa, Wananchi wametoa jibu kwenye katiba mpya.
Wamesema hawana cha kuzungumza sababu wananchi washazungumza kwenye katiba mpya.
Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza hivi kribuni alitia sahihi kwenye Katiba mpya tata. Sherehe ya utiaji sahihi zklifanyika katika ikulu ya rais mjini Gitega, katikati mwa Burundi. Katiba hii mpya iliyopitishwa Mei 17 katika kura ya maoni, inampa fursa ya Pierre Nkurunziza kusalia madarakani hadi mwaka wa 2034.