Burundi na rwanda nani yuko juu kijeshi Zikipigwa leo

Hivi vi nchi ni vidogo ila majina yao duniani yamekuzwa kutokana na migogoro ya ndani sasa swali langu je wakizipiga Leo wao kwa wao bila taifa jingine kuingilia upande mmoja wapo Nani atapewa kipigo cha mbwa coco

Kagame Vs nkurunzinza who would win??

Sitaki povu Kama una povu pita kimyakimya
Ethiopia na Eritria walipopigana nani alishinda? Ukichukulia Eritria ni kainchi kadogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kumbe ukimfata mtu pm akikutangaza anakula ban?

rwanda hawana jeuri ya kutwangana na burund coz slim anamaadui wengi ndani kwake

kuna uwezekano wa kupigana kwa ukabila na ikitokea hivyo slim na jamii yake wameumia mapema (kwanza hawatakiwi na majirani zao pili muonekano wao unawatambulisha)

pia burundi yupo vzr aridhini

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Sana mkuu ila Kama ni maadui wa ndani mbona nkurunzinza pia anao na walitaka hata kumpindua kitu ambacho kwa slim hakikuwahi kutokea
 
Sheria za jf mambo ya inbox ukiyaleta publicly humu unakula ban
 
A
Jaribio la mapinduzi ya Nkuru lilifanywa na PAKA, Rwanda hapajafanyika jaribio la mapinduzi bali yamefanyika majaribio kadhaa ya kuvamia Ikulu. Hayo hayatangazwi
Aiseee sikulijua hili kumbe nkurunzinza na paka haziivi
 
Wengi tunapenda Kagame aanguke tutatoa mercenary assistant if possible

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Asante Sana mkuu ila Kama ni maadui wa ndani mbona nkurunzinza pia anao na walitaka hata kumpindua kitu ambacho kwa slim hakikuwahi kutokea
ni vigumu saana kwa jeneral kutaka kupindua nchi na akashindwa coz anakuwa anakomandi group kubwa la askari

sasa huyo niyombare alishindwa sababu hakupata support( yalikuwa mapinduzi ya wauni wachache tu wenye vimbelembele kama ilivyotokea gabon)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom