Burundi na rwanda nani yuko juu kijeshi Zikipigwa leo

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,378
30,829
Hivi vi nchi ni vidogo ila majina yao duniani yamekuzwa kutokana na migogoro ya ndani sasa swali langu je wakizipiga Leo wao kwa wao bila taifa jingine kuingilia upande mmoja wapo Nani atapewa kipigo cha mbwa coco

Kagame Vs nkurunzinza who would win??

Sitaki povu Kama una povu pita kimyakimya
 
kwa military strength Rwanda wako vizuri kuliko burundi...
 
Msg yako ya kwanza nimefungua uzi unanitukana matako yangu yatashinda mpuuzi wewe bora Mimi nimekuja inbox wewe umenitukana publicly na kwa sheria za jf mambo ya inbox ukiyaexpoz unakula ban so nategemea hatutakuona kwa muda Fulani pili jiheshimu uheshimiwe
nazani ban haini ongezei wala kuni punguzia kitu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom