Burundi asks citizens for election donations

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
_83225471_pierre2.jpg


Burundi's government has asked people to donate money to ensure the successful running of controversial elections scheduled for June. There have been weeks of violent protests against President Pierre Nkurunziza's bid for a third term.

In its appeal for donations, the government refers to the importance of reinforcing "a democratic culture based on the universal principle driven by the choice of the people".

The Facebook post continues: "The government invites patriotic citizens convinced by this noble principle to make a voluntary contribution to push forward the efforts already agreed to by other friends of Burundi."

It then points people towards an account set up at the Bank of the Republic of Burundi under the name "ELECTIONS 2015".

The EU is withholding $2.3m (£1.5m) of funding for the elections unless "conditions for a free, peaceful and credible election are secured". Former colonial power Belgium has also suspended $2.2m (£1.4m) funding for the elections.

Source: BBC
 
Nimesikiliza habari moja kwenye media ya kimataifa wakiwa wanashangaa jinsi waamiaji haramu wanavyojitoa muhanga kwenda Ulaya huku wakishuhudia wenzao mamia kwa mamia wakizama baharini na kupoteza maisha.
Mama mmoja mzungu alivyokuwa akihojjiwa alionyesha kuwa na moyo wa huruma sana na anasema (sio official quote) kuwa "nawasikitikia hawa watu weusi wasio na hatia, najitahidi kutoa kila ninachoweza lakini siwezi kuwasaidia wote. Nawashangaa wanasiasa wa hapa Ulaya na huko wakimbizi hawa wanakotokea wanafanya nini kuwafanya hawa binadamu pia kujiona kama sehemu ya dunia"
Huyo mama kanikumbusha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere pale alipotoa angalizo kuwa
Waafrika tusipoangalia mabeberu watatufanya kama wanyama walioko Serengeti! Nasikitika kuona kuwa hata Nkurunzinza anachangia kushusha hadhi na heshima ya Mwafrika!
 
Watachangiaje wakati wengi wa wapiga kura wanamiminika kuja Kigoma ukimbizini kila uchao!
 
Siasa za Africa bana, si muda mrefu tutaambiwa hela ishachangwa na wananchi wazalendo na uchaguzi utafanyika kama kawaida!

Naipenda sana Africa!
 
Hahaha kinchi maskini yan kunyimwa hela za uchaguzi na Belgium Kameshakua hoi tayar, duuu
 
Back
Top Bottom