Burudani toka mtaani kwetu - maliza machungu ya uchaguzi

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
IMG_4732.JPG IMG_4723.JPG IMG_4754.JPG IMG_4725.JPG IMG_4717.JPG IMG_4721.JPG

Nawatakia weekend njema hasa baada ya week ngumu yenye machungu ya uchaguzi...
 
El Toro:

Hilo kama ni jasho, nadhani kulikuw na mashindano ya disko! khaaaa!
 
Kambi ya fis ya hapo mvua ilinyesha lakini watu kwa kupenda kujirusha wamekubali kullowa. Jasho gani mpaka kichwani hebu mcheki huyo demu mwenye gauni la serengeti karikiti yote chepechepe!! Starehe nyingine zinahitaji ujasiri jameni..eh!:tape:
 
hivi bado kuna wanaoweka 'karikiti'.long time sijasikia hilo neno.
 
Back
Top Bottom