Burnaboy kaposti picha ya Harmonize

Kwa hizi akili, ukisikia harmonize basi unajua ana hela kuliko raia wote wasio waimba mziki? (Hata kama sio mimi) unataka kusema kwamba Tz hii kama sio MO au Bhakharesa basi hakuna anaewafika hao?😅

Sasa hapo kulikuwa na ulazima gani wa kumlinganisha na mimi?? Mlingamishe na Nassib tuone kama anamfika hâta kwa chochote.
Mihadarati anachomzidi konde ni idadi kubwa ya Malaya anaotombsa Basi.
 
Dhambi ya ubinafsi na tamaa haifichiki Kama moshi wa kuni

Kuna siku tu yale yote ya sirini yatakuwa hadharani

Diamond ni msanii mkubwa Afrika kila mtu analijua hilo na nyuma ya mafanikio yake kuna team kubwa ya watu inayoyawezesha hayo mafanikio yake

Cha ajabu chibu ni msanii wa kizazi kipya lakini ana mambo ya kizamani sana

Unaimiliki team Kama mfalme na vijakazi wake

Kufanikiwa ufanikiwe wewe tamaa na wivu uwaonee wenzio duu unawatumikisha wenzio utadhani ni watoto zako
Ukorofi kama WA mama Tarik😂😂
 
Mheshimiwa Pius Msekwa aliwahi kusema Kuna watu/wanasiasa wa kiume wenye WIVU WA KIKE.

Sasa mkuu tuwe wakweli uko zako huko sijui wapi madongo kuinama . Daimond au Harmo hawakujui huwajui , hujawai kukutana nae ppte, hakusaidii chchte ktk maisha yako halafu unasema NAMCHUKIA DIAMOND AU HARMONIZE. Kwa lipi?

Ukisikia wanagombana soma tu km burudani wao ndiyo wanajuana. Wewe pambana kulima matembele yako, huku umeweka earphone masikion unaburudika kwa mziki mtamu wa Angela au Dai au ZUCHU au Harmonize.

Ni Sawa na kuniita Anjela haisaidii kitu. Mm nikikuita zuchu au bi kidude Ina impact gani kwangu.

Mziki mzuri hoyeeeeeee
 
Konde boi they call me number wani, too muchi manii in the banki manii
Kama umeandika hivi kwa dhumuni la kukebehi yai la konde, Basi we ndo boya kabisa hujui kidhungu. Hayo uliyoandika hapo ktk matamshi hayana shida kabisa, unless wimbo wake kaimba kwa maandishi ntakuona upo sahihi.
 
Kama umeandika hivi kwa dhumuni la kukebehi yai la konde, Basi we ndo boya kabisa hujui kidhungu. Hayo uliyoandika hapo ktk matamshi hayana shida kabisa, unless wimbo wake kaimba kwa maandishi ntakuona upo sahihi.
Too much money in the bank money ndo nini?? Au ndo mmefundishwa hivyo huko tandahimba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom