Burna Boy awasili Marekani na kupokelewa na P. Diddy

Leo msanii kutoka Nigeria ambae anatamba duniani kwa sasa Burna Boy amewasili nchini Marekani na kupokelewa na mkongwe wa muziki nchini humo P. Diddy. Hii inaonesha wazi mshindi wa tuzo za BET katika kipengele cha Best International Act ni Burna Boy. Na kwa sasa yupo nchini Marekani akisubiri kukabidhiwa tuzo yake jumatatu.

Hongera sana Burna Boy kwa kuwa mshindi unastahili sana. Na pole za dhati zimuendee bwana Diamond Platnumz na washiriki wengine walioshindwa. Asiekubali kushindwa si mshindani 👀

View attachment 1830036
P. Diddy na Burna Boy wakisalimiana kwa furaha na upendo 😉
Aaaaw our very our Burna boy has done it again, a boy from Moshi has done it for our nation, #NoBETforsadala
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kwa comment yako inaonesha una chuki binafsi na Diamond wala sio kwasababu unampenda Sana Burnaboy.Hii tabia ya kuwa na wivu na watu wenye mafanikio mtaacha lini?
You get it wrong, hunijui wala sikujui, you should not judge me from your own perspectives besides i have the right to chose whichever side i want, suala la mafanikio ya daimond hayana impact yoyote kwenye maisha yangu, it adds nothing on my plate, i am neither his competitor nor his rival, sio lazima kila mtu achague upande unaoutaka wewe na mtu anapokua tofauti na upande wako haimaanishi kwamba ana chuki
 
Mbona kama umepanick bi mdada.
 
Leo msanii kutoka Nigeria ambae anatamba duniani kwa sasa Burna Boy amewasili nchini Marekani na kupokelewa na mkongwe wa muziki nchini humo P. Diddy. Hii inaonesha wazi mshindi wa tuzo za BET katika kipengele cha Best International Act ni Burna Boy. Na kwa sasa yupo nchini Marekani akisubiri kukabidhiwa tuzo yake jumatatu.

Hongera sana Burna Boy kwa kuwa mshindi unastahili sana. Na pole za dhati zimuendee bwana Diamond Platnumz na washiriki wengine walioshindwa. Asiekubali kushindwa si mshindani

View attachment 1830036
P. Diddy na Burna Boy wakisalimiana kwa furaha na upendo
Nenda kakojoe ulale sawa mtoto?
 
Unafikiri wachawi wote wanapepea na ungo tu?. Huo wako nao ni uchawi maarufu wa kiteknorojia. Ukiongeza speed unapewa ungo
 
Back
Top Bottom