Burkina Faso: Watu 47 wauawa na waasi

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
4,077
2,000
Wapiganaji wenye uhusiano na Al-Qaeda na ISIL wameua watu 47 ambao 14 kati yao ni wanajeshi.

Mauaji hayo yametekelezwa baada ya wapiganaji kuvamia mji wa Arbinda.

Hata hivyo wapiganaji wa serikali walifanikiwa kuwaua waasi 16 katika mapigano hayo.

=====

In an attack near the northern town of Arbinda on Wednesday, rebels killed at least 47 people, including 30 civilians, 14 soldiers and three pro-government militiamen, state media reported.

State media reported that government troops killed 16 rebels while a security source put the number at 58.

Fighters linked to al-Qaeda and ISIL regularly carry out attacks in Burkina Faso and neighbouring Mali and Niger, killing hundreds of civilians this year alone.
 

Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
8,431
2,000
Taliban wengine hao, wanalazimisha aina ya utawala wao kwa watu eti wametumwa na mungu wao, ni bangi tu inawasumbua.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom