BURKINA FASO: Watu 15 wauawa na wengine kujeruhiwa kwa shambulio la bunduki

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
4,077
2,000
Serikali ya Burkina Faso imesema mtu mmoja asiyejulikana ameshambulia na kuua takriban watu 15 katika jimbo la Loroum


Waziri wa Mawasiliano Remis Fulgance Dandjinou amesema idadi ya waliojeruhiwa bado haijatambulika

Burkina Faso imekuwa na mashambulio yanayohusishwa na Al-qaeda na ISIL tangu 2017. Watu wengi waliuawa mwaka 2019 na mamilioni ya watu wameyahama makazi yao

Alhamisi, Majeshi ya Burkina Faso yalifanikiwa kuharibu kambi moja ya waasi

===
Unknown gunmen kill at least 15 in an attack on a convoy transporting traders in Loroum province, says government.

At least 15 people have been killed following an attack on a convoy transporting traders in a town in northern Burkina Faso on Friday, the government has said.

The attack, carried out by an unidentified group of assailants, left several others wounded. Many more were still unaccounted for, the government said in a statement on Saturday

"The provisional toll mentions 15 dead, wounded and people missing as well as significant material damage," communications minister Remis Fulgance Dandjinou said following the attack in Loroum province

Burkina Faso has been battling armed groups with links to al-Qaeda and ISIL since 2017

Hundreds have been killed in the past year in the Sahel nation, and more than half a million people have fled their homes due to attacks which have also fuelled ethnic and religious tensions

On Thursday, Burkina Faso's armed forces said troops destroyed a rebel camp in another province in the north of the country. It said 10 assailants and a soldier died during the operation

Source: Al Jazeera
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom