Burkina Faso: Wanajeshi 14 wauawa na waasi, 7 wajeruhiwa

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Waasi wamewaua Wanajeshi 14 Kaskazini katika shambulio lililotokea karibu na mji wa Yirgou huku wengine 7 wakijeruhiwa.

Kwa mujibu wa Wizara ya Ulinzi, shambulio la kukabiliana nao lilifanyika na baadhi ya waasi walipoteza maisha.

Ghasia zimepelekea zaidi ya watu Milioni 1 kukimbia makazi yao na wengine kuishi kwa hofu. Mwezi Juni, takriban Maafisa wa Polisi 15 waliuawa.
===

Suspected Islamist militants have killed 14 soldiers in northern Burkina Faso.

Seven other soldiers were wounded in the attack near the town of Yirgou, early on Monday.

The defence ministry said a counter attack was launched that killed several insurgents.

In June, at least 15 police officers were ambushed and killed in Yirgou.

Islamist militants have displaced more than a million people in Burkina Faso, while many more across the Sahel region of Africa live under the threat of their violence.

Source: BBC
 
Jihadists wanataka walazimishe imani yao kwa wote kwa shuruti ndio maana wanatambulika kama magaidi. Hawajui kuwa kuna wengine pia ambao hawaamini katika imani yoyote.
 
Ila we jamaa cjui ueleweshwaje uerewe!

Umejuwaje wanapigania dini?
Umejuwaje hao ni waisilamu?
Je, una uhakika uisilamu unalazimisha kumtoa mtu kwenye imani yake na kumuingiza kwenye uisilamu?

Naomba uje na facts with evidence, pamoja na aya inayolazimisha kumtoa m2 kwenye imani yake!!!!
 
Uerewe = Uelewe.
Wapi kwenye andiko langu nimetaja neno "Uislamu"..!!
 
Nimeomba uje na kithibitisho kama wanapigania dini na pia ni waislamu!!!!, pamoja na aya katika Qur'an inayolazimisha kumtoa m2 kwa kwenye imani yake, tena kwa lazima!!!!

Nakuona umeanza kujiumauma!!!!

Nasubiri majibu yako, uckimbie tuu
 
Allah is Great🤣🤣🤣

Nimeomba aje na kithibitisho na Aya katika Qur'an,,,lakinii i know that hana jibu.
Chief we uwa ni mbishi tu.. you are defending undefendable, hii itakupa shida sana.... ila bahati nzuri unajitihada sana katika ilo ila jitihada zako hazifanyi anga lidondoke.

wewe una Phd ya islamic studies? NINAJUA HUNA.
ninachojua unaimani ya dini tu, huna elimu ya dini.
umepungukiwa ilimu ya dini unatumia mwanya huo kupotosha kuhusu dini.
wenye ilmu ya dini ndiyo vinara wa kuanzisha vikundi kama vile vya sheikh logo(rip) etc.

Alhaji Abubakr Al-Baghdad alikuwa na Phd in Islamic studies alichokifanya hapo middle east unakijua kama ukijui acha nikukumbushe:, jamaa ndiye aliyeanzisha ISIS.
nyie mamluki wa kidini ndiyo manaupotosha uislam halisi, mnaingiza mitazamo ya kimagharibi ndani ya dini.
waislamu fake ndiyo mnapinga matumizi ya nguvu, mnataka usawa kati ya kafir na muislam, usawa wa kijinsia etc. hata mkipewa Aya za kuwa prove wrong kuwa dini haitaki hivyo bado mtakataa tu,mnataka umagharibi wenu muuingize katika dini.

shekeu alikuwa zero tolerance na watu kama nyie coz ni wapotoshaji wakubwa.
he was butchering and beheading people like you.
 
wewe una Phd ya islamic studies? NINAJUA HUNA.
ninachojua unaimani ya dini tu, huna elimu ya dini.
umepungukiwa ilimu ya dini unatumia mwanya huo kupotosha kuhusu dini.
Kuwa na PhD ya Islamic Studies ndio unataka kusema nini? "Islamic Studies" ndio nini? Kwahiyo huko kusoma kwake "Islamic Studies" ndio moja kwa moja alikuwa katika Haqq?
wenye ilmu ya dini ndiyo vinara wa kuanzisha vikundi kama vile vya sheikh logo(rip) etc.
Unawajua Wenye Ilmu? Au ndio wenye digrii za "Islamic Studies"?
waislamu fake ndiyo mnapinga matumizi ya nguvu, mnataka usawa kati ya kafir na muislam, usawa wa kijinsia etc. hata mkipewa Aya za kuwa prove wrong kuwa dini haitaki hivyo bado mtakataa tu,mnataka umagharibi wenu muuingize katika dini.
Wewe ni Muislam? Kama ni Muislam nakunasihi uache jazba na uisome dini katika misingi sahihi. Nakunasihi mno na kuinasihi nafsi yangu.
Alhaji Abubakr Al-Baghdad alikuwa na Phd in Islamic studies alichokifanya hapo middle east unakijua kama ukijui
Aliyeanzisha ISIS/Daesh ni Abu Mus'ab Al-Zarqawi ambaye hakuwa msomi wa dini kabisa. Alikuwa ni mhuni na mhalifu, a street thug ambaye baadae alikuja kuathiriwa na fikra za Takfir na za Kikhawarij.

Niishie hapa.
 
Kuwa na PhD ya Islamic Studies ndio unataka kusema nini? "Islamic Studies" ndio nini? Kwahiyo huko kusoma kwake "Islamic Studies" ndio moja kwa moja alikuwa katika Haqq?

Unawajua Wenye Ilmu? Au ndio wenye digrii za "Islamic Studies"?

Wewe ni Muislam? Kama ni Muislam nakunasihi uache jazba na uisome dini katika misingi sahihi. Nakunasihi mno na kuinasihi nafsi yangu.

Aliyeanzisha ISIS/Daesh ni Abu Mus'ab Al-Zarqawi ambaye hakuwa msomi wa dini kabisa. Alikuwa ni mhuni na mhalifu, a street thug ambaye baadae alikuja kuathiriwa na fikra za Takfir na za Kikhawarij.

Niishie hapa.
unajua

wewe ni kafir uliejivika Shera yakiislamu.
Mmeslim kwa kusika Allah Wakbar.. Allah ni mmoja na hana mshirika mkajua Islam inaishia hapo, hamkujua inaanzia hapo na kuna upande wa pili wa shiling.
sasa mkiona wanaujua upande wa pili wa shiling wanafanya kinachopingana na humanity mnakuwa suppressed mnaanza kuwa attack kuwa hawaijui haki.

mnasahau kuwa shida sio wao ama Qur'an,. Qur'an imeshaamru ikamaliza, shida ni nyie makafir mnaoingia uislamu kichwa kichwa kwa kupitia CD za akina Sheikh mazinge na akina Maiko.

Umajunnuni wenu unawafanya mhisi akina Shekeu na Baghdad hawaijui haki ama uislam.
wakiwapeni Aya mnasema hiyo aya haimo kwenye Qur'an, wakiwaonyesha chapter by chapter mnasema imetafsiriwa kimakosa.
hii yote ni kupindisha kile Qur'an inasema.
the day is coming mtashangaa akina Bagdad na Shekeu wakila upepo wa fukwe za Hawaii ya peponi uku nyie mkitupwa jehanamu😂😂😂
 
umepungukiwa ilimu ya dini unatumia mwanya huo kupotosha kuhusu dini.
wenye ilmu ya dini ndiyo vinara wa kuanzisha vikundi kama vile vya sheikh logo(rip) etc.
Naona umeandika kinyume hakuna mwenye Elimu ya dini ya Uislamu akaanzisha hivyo vikundi. Umemtolea mfano Aboud Rogo. Unaweza kutuambia Rogo alikuwa na Elimu gani kuhusu Uislamu ? Mtu ambaye alikuwa akiwatukana Wasomi wa kubwa wadini na kwenda kinyume na mafundisho ya Uislamu ?
Alhaji Abubakr Al-Baghdad alikuwa na Phd in Islamic studies alichokifanya hapo middle east unakijua kama ukijui acha nikukumbushe:, jamaa ndiye aliyeanzisha ISIS.
Kuwa na degree katika Islamic Studies hakukufanyi wewe ukawa msomi wa Dini,sababu hizo hufundishw ule uislamu zaidi ya kuokoteza okoteza baadhi ya mada katika Uislamu. Kwahiyo Al-Baghdad hakuwa msomi wa Dini.

Kama mfatiliaji ukiwafatilia hao wote wenye fikra hizo za Jihadi hata kusali tu hawajui seuze kujua hukumu za Dini.
 
wewe ni kafir uliejivika Shera yakiislamu.
Mmeslim kwa kusika Allah Wakbar.. Allah ni mmoja na hana mshirika mkajua Islam inaishia hapo, hamkujua inaanzia hapo na kuna upande wa pili wa shiling.
sasa mkiona wanaujua upande wa pili wa shiling wanafanya kinachopingana na humanity mnakuwa suppressed mnaanza kuwa attack kuwa hawaijui haki.
Wewe ni Jahili. Allah akuongoze wewe katika njia iliyonyooka. Atuongoze na sisi.
 
Jihadists wanataka walazimishe imani yao kwa wote kwa shuruti ndio maana wanatambulika kama magaidi. Hawajui kuwa kuna wengine pia ambao hawaamini katika imani yoyote.
Wenyewe wanadai wanaisimamisha dini!
 
Back
Top Bottom