Burkina Faso: Rais wa zamani akabiliwa na kesi ya mauaji

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Rais wa zamani wa Nchi hiyo, Blaise Compaoré (1987-2014), anakabiliwa na mashtaka ya mauaji ya aliyekuwa Rais kuanzia mwaka 1983 hadi 1987, Thomas Sankara.

Sankara aliuawa katika mapinduzi yaliyoongozwa na Compaoré ambaye aliondolewa madarakani mwaka 2014 na kukimbilia nchini Ivory Coast.

Mahakama ya Kijeshi ya Burkina Faso imemtuhumu Compaorè kuhusika na mauaji ya Sankara na kudhoofisha Usalama. Katika kipindi cha nyuma, Compaorè alikana kuhusika na mauaji hayo.

=====

A Burkina Faso court charged former President Blaise Compaore in absentia on Tuesday in connection with the 1987 murder of then-President Thomas Sankara, one of the most infamous killings in Africa’s post-independence history.

1618380124539.png

Sankara, a charismatic Marxist revolutionary often called “Africa’s Che Guevara”, was assassinated during a coup led by his former friend Compaore.

Compaore went on to rule Burkina Faso for 27 years before being ousted in a 2014 uprising and fleeing to Ivory Coast, where he is believed still to live. He has previously denied any involvement in Sankara’s death.

A military tribunal on Tuesday charged Compaore with complicity in the assassination, undermining state security and receiving cadavers, a court document seen by Reuters showed.

Compaore’s former right-hand man, General Gilbert Diendere, was also charged with several crimes related to Sankara’s killing, including complicity in the assassination.

Diendere, who has been in prison since a failed coup in 2015, was in court to hear the charges. He will enter a plea later.

Burkina Faso issued an arrest warrant for Compaore in 2015, but Ivory Coast has declined to hand him over.

Sankara, who seized power in a 1983 coup at the age of 33, was known for his trademark military fatigues and red beret and rejection of a lavish lifestyle.

In four years as president, he became the first African leader to denounce the menace of AIDS, took a stand against the International Monetary Fund and World Bank, and promoted women’s rights by opposing female genital mutilation and polygamy.
 
Sankara alikuwa mzalendo kweli siyo wa kutuita wanyonge wao wazalendo halafu wako kwenye v8 msululu gari 10+
 
Ninahitaji andiko linalomueleza Sankara kwa kina. Ninataka kujifunza na kumuelewa kwa kina,hasa falsafa zake
 
Hakuwa kihivyo kama wapambe wake wanavyomfagilia, alinyanyasa sana vyama vya wafanyakazi.

Alikuwa "Pupulist Leader" mithili ya akina Magufuli, Nkrumah, Gaddafi, Lumumba, Nasser, Mengistu, Mugabe nk.

Hawa watawala ambao hujifanya kuwa upande wa wananchi wanaowaita wanyonge waga ni wanafiki sana hiyo waga ni falsafa yao wanaoitumia ili kudumu madarakani lakini kimsingi hakuna cha wanyonge wala nini.
 
Kweli kabisa. Mugabe aliponyang'anya mashamba alisifiwa sana Afrika kumbe mashamba yenyewe wakajipa viongozi tu, kuna mzimbabwe nilikuwa naongea nae kipindi hicho Mugabe anasifiwa kwenye mitandao akaniambia jinsi wazimbabwe wasivyompenda yule mtu na mambo mengi maovu aliyokuwa anafanya.

Nkurumah huku shujaa lakini kwa waghana wengi ni dikteta, Ghadafi alikuwa na kikundi chake cha watu wasiojulikana.
 
Du
Hakuwa kihivyo kama wapambe wake wanavyomfagilia, alinyanyasa sana vyama vya wafanyakazi.

Alikuwa "Pupulist Leader" mithili ya akina Magufuli, Nkrumah, Gaddafi, Lumumba, Nasser, Mengistu, Mugabe nk.

Hawa watawala ambao hujifanya kuwa upande wa wananchi wanaowaita wanyonge waga ni wanafiki sana hiyo waga ni falsafa yao wanaoitumia ili kudumu madarakani lakini kimsingi hakuna cha wanyonge wala nini.
Duh...aisee...Mimi nilikuwepo....Watanzania wengi tulilia pale alipouawa...aliuawa ikwa njama za mabeberu...shirika la ujasusi la Ufaransa ndilo lililohusika kumuua...Compare Blaise alikuwa ni rafiki mkubwa was Sankara lakini alihongwa na wafaransa na kumuua rafiki yake...Sankara was a true African.
 
Hakuwa kihivyo kama wapambe wake wanavyomfagilia, alinyanyasa sana vyama vya wafanyakazi.

Alikuwa "Pupulist Leader" mithili ya akina Magufuli, Nkrumah, Gaddafi, Lumumba, Nasser, Mengistu, Mugabe nk.

Hawa watawala ambao hujifanya kuwa upande wa wananchi wanaowaita wanyonge waga ni wanafiki sana hiyo waga ni falsafa yao wanaoitumia ili kudumu madarakani lakini kimsingi hakuna cha wanyonge wala nini.
Mbona unaongea kama unatapika?
 
Back
Top Bottom