Kilembwe
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 2,056
- 1,598
Hapana hawa nakumbuka walitoka jela wakati wa Mkapa, pamoja na yule Captain MagangaNdiyo, walifungwa maisha Mzee rukhsa akaja kuwasamehe. R.I.P
Hapana hawa nakumbuka walitoka jela wakati wa Mkapa, pamoja na yule Captain MagangaNdiyo, walifungwa maisha Mzee rukhsa akaja kuwasamehe. R.I.P
Uache ubishi na Ngonjera zako, kama hutaki kuchanja kaa kimya mbona waliochanja hatuwasikii wakiwazodoa wasiochnja?Hivi unaelewa tofauti ya chanjo na dawa?
Uliwahi kusikia kuna chanjo ya malaria?
Umewahi kusikia mtu mwenye chanjo ya malaria amekufa kwa malaria?
Jifunze zaidi kwanza uongeze maarifa.
👍hakuna majina makubwa jina kubwa ni allah pekee yake. hayo majina makubwa ni wewe ndio unaona hivyo
Z.H.POPPE.Hv hiyo kampuni yake ya usafirishaji inaitwaje
Mkuu askari kunyang'anywa bundiki na kisha kupigwa makofi na kibaka lazima asemwe, asiachwe hivi hivi.Uache ubishi na Ngonjera zako, kama hutaki kuchanja kaa kimya mbona waliochanja hatuwasikii wakiwazodoa wasiochnja?
Hapana hawa nakumbuka walitoka jela wakati wa Mkapa, pamoja na yule Captain Maganga
Umesema teknolojia imekuwa sasa kulikuwa na haja gani ya kuipitisha kwa dharula?Kupitishwa kwa dharura haimaanishi si bora au si salama. Kuna dawa kibao zilifanyiwa majaribio yote na kupitishwa, lakini baada ya miaka mingi sokoni Ikatolewa sababu ya madhara. Dawa nyingi za ukimwi ziliokuwa zinatumika mwanzo haiztumiki tena leo, sababu zimekuwa na madhara makali.
Kukwepa urasimu.Umesema teknolojia imekuwa sasa kulikuwa na haja gani ya kuipitisha kwa dharula?
Asingeweza kuchanjwa akiwa ICU wanasema inazidisha ugonjwa ,hawachanji kama tayari uko na covid 19,mpaka upone kabisa ndio watakuchanja, na kumbuka wanasema amekaa karibia mwezi hospitaliKwani baada ya mahojiano mtu hawezi kuchanjwa? Kwani chanjo inahitaji maandalizi ya mwaka, si masaa tu? Unashindwa kuelewa nini hapo mkuu.