Buriani: Watanzania Wengi Hawakumjua Rais Mkapa. Nami Nishuhudie

Kama kuna Raisi bora kuwahi kutokea Afrika, Ben ni kinara!
Alikuwa na madini ya maana kichwani, kiongozi wa kipekee sana!
Bado naukumbuka mdahalo wa wagombea uraisi mwaka 1995, mdahalo ule ulitufanya tumjue Mkapa, aliwa outshine wagombea wenzake hadi ambao ni Maprofesa
Hii midahalo sijui ilipotelea wapi. Sijui sasa hivi ingekuwaje
 
Mkuu Bams,
Nikiri kwamba huwa naikubali michango yako humu jamvini ambayo imekuwa ikijielekeza kuibua ufahamu miongoni mwetu. Nimekuwa nikivutiwa zaidi na michango yako hasa kuhusu sekta ya madini ambayo weledi wako katika sektta hiyo ni wa mfano.
Haya hivvyo, mada uliyoleta Leo imenifanya nifikiri mambo kadhaa ambayo ukiyaweka hapa yatasaidia mjadala.
Mosi, Mkapa aliingia madarakani kama raid mwaka 1995, lakini ilikuchukua miaka saba hadi ulivyokuwa Chile, ukakutana na afisa wa serikali ya Canada akimsifia Mkapa ndio nawe ukaiona thamani take! Kabla ya maelezo hayo, nini ulikuwa mtazamo wako juu ya Mkapa na pengine watanzania wa kawaida walikuwa wakimchukulia vipi?
Pili, Nafikiri Tundu Lissu na harakati zake, ameibuliwa zaidi na Sera za Mkapa hasa kuhusu uwekezaji kwenye sekta ya madini.
Kilichotokea bulyanhulu kila mmoja anafahamu. Je ndio gharama aliyoisema Mkapa kwa Andrew Young kuwa Tanzania iko tayari kulipa ili kuvutia wawekezaji?
Nini maoni yako juu ya Andiko LA akina Lissu na Rugemeleza Nshala na LEAT yao yenye kichwa, Mkapa ya Bulyanhulu unayajjua"?
 
Mwaka 2002, nilikuwa jijini Santiago kikazi. Nilijumuika na watu wengi toka pande mbalimbali za Dunia. Mmoja wa niliyejumuika naye alikuwa ni ofisa mmoja wa kutoka Indonesia. Wakati huo Indonesia ilikuwa haijapita muda mrefu tangu wamchague Waziri Mkuu.

Wakati huo, kwenye hoteli ile kulikuwa na King Hassan wa Jordan, na George Bush aliondoka siku mimi nilipoingia. Ni hoteli ambayo wakubwa wa Dunia walipenda kufikia, na gharama yake haikuwa haba.

Wakati fulani wa maongezi, nikiwa nimesimama na yule ofisa wa Indonesia, afisa wa juu wa Serikali ya Canada, akamwambia yule afisa wa kutoka Indonesia, 'this time you have a got a very good Prime Minister', yule Muindonesia akasema, 'you are right'. Kisha yule afisa wa juu wa Canada, akasema, 'but I assure you, he is not as good as this genteman's President, President Benjamin William Mkapa.

Last week Benjamin Mkapa was in Toronto, he addresed like the President of Africa. He spoke on behalf of Africa. We were expecting such a speech from Thabo Mbeki, but it was Benjamin Mkapa who made it. He is an exceptional leader. He has made what even the First World Presidents cannot. Can you imagine, lowering inflation from 30% down to 4%, that had never happened anywhere but Benjamin has done it. Unfortunately, I do not think the Africans understand the greatness of Benjamin. Had it been in any American or European countries - he would be in success records'.

Nilimjua Mkapa kwa mbali sana. Niliijua kazi aliyoifanya Mkapa, hasa kwenye uchumi wa nchi yetu lakini sikufikiria kuwa alichokifanya kilikuwa ni cha pekee sana Duniani.

Ni Mkapa ndiye aliyesimamia sera ya uwekezaji. Kuna watu wajati wa uhai wake wamekuwa kuhusu uwekezaji kwenye sekta ya madini, na kuashiria kuwa aliuza rasilimali za Taifa kwa mabeberu. Lakini kwa dhamira ya moyo wangu kabisa, na kwa kumheshimu Mungu aliyeniumba, nina hakika Rais Mkapa alikuwa mzalendo wa kweli wa nchi yetu. Uwekezaji kwenye sekta ya madini, haukuwa na rushwa yoyote wala dhamira yoyote ya kuangamiza Taifa.

Naikumbuka hotuba aliyoitoa Mkapa pale Bulyanhulu, mbele ya Watanzania na Balozi wa Kudumu wa Marekani, Andrewa Young, 'to make an investor come to Tanzania, not to South America, Asia or even Kenya, where there is electricty, good roads, assured communication facilities, instead come to Tanzania where all the necessary enabling infrastructure is missing, there is a price to pay, and my government has accepted it".

Mkapa wakati huo alikuwa akigangaika kupata hrla ya kuendeshea Serikali. Wakati Mkapa anaingia madarakani, hata mishahara ya wafanyakazi wa umma ilikuwa inakosekana. Mwezi wa 7, mfanyakazi analipwa mshahara wa mwezi wa 5 au 6. Mkapa aliondoka madarakani wafanyakazi wote wa umma wakilipwa kwa wakati.

Ukitaka kumjua kiongozi mzuri, uone atafanya nini wakati nchi ikiwa katika matatizo. Mkapa aliweza kuonesha uwezo wake wa kuitoa nchi kwenye dimbwi la dhiki kubwa. Mkapa hakuwahi kuhangaikia sifa bali alihangaikia mafanikio ya nchi.

Ni bahati mbaya sana watanzania huwa tunavutika na kushawishika kwa vitu vidogo vidogo, huku makubwa tukiyapa umuhimu mdogo.

Sina nia ya kumlaumu mtu lakini kama kuna kitu ambacho mpaka leo huwa najiuliza, sipati jibu, ni mtazamo wa Serikali ya awamu ya 5 kuamini kuwa hakuna makubwa yaliyowahi kufanyika awamu zilizopita. Wanataka kuwaaminisha watu kuwa mambo makubwa, mazuri na ya ajabu yamefanyika awamu hii. Lakini kwa hakika misingi muhimu ya uchumi wa kisasa kwa Tanzania, iliwekwa na Mkapa.

Mkapa aliuchukua uongozi wa nchi, hazina ikiwa ina zero balance. Akaondoka akiwa ameacha $5 billion. Ni Mkapa ndiye aliyejenga taasisi imara za utawala, uongozi na za kusimamia uchumi. Ni Mkapa ndiye aliyeifanya sekta binafsi kuwa mhimili wa uchumi. Ni Mkapa aliyeingia madarakani $1 = TZS 800; akaishusha mpaka $1 = 500. Mwinyi aliipandisha $1 = TZS 5 mpaka $1=TZS 800.

Hakuna mtawala mwingine yeyote aliyeweza kupandisha thamani ya shilingi dhidi ya sarafu nyingine kubwa za Dunia kama alivyofanya Mkapa.

Niliwahi kukutana na kiongozi mmoja aliyehudumu kipindi cha Mkapa, Kikwete na Magufuli - alisema, 'katika awamu zote, ni kipindi cha Makapa pekee, ukitaka kufanya maamuzi unaangalia sheria, kanuni na miongozo. Huna haja ya kumwuliza mkubwa wako. Leo ukijifanya kuangalia sherua na kanuni bila kujitahidi mkubwa anataka nini, umeebda na maji".

Yale maelezo ya Mkanada na huyu afisa kiongozi wa Serikali, yanadhihirisha kuwa Mkapa alikuwa Kiongozi. Kiongozi hutengeneza mifumo. Mifumo huwatengeneza viongozi wengi na kuwapa moyo wa kujiamini katika kutenda kazi zao.

Watawala badala ya kujenga mifumo, huyajenga majina yao. Hawapendi kujenga mifumo kwa sababu mifumo hutoa nafasi ya watu wengine kuonesha umahiri wao. Watawala hupenda wasifiwe wao tu. Hawataki kujenga mifumo ambayo huwajenga watu wengi, na kuyainua majina yao.

Mpendwa ndugu yetu Rais Mstaafu Mkapa, umeimaliza safari yako. Umeziacha nyayo zako Duniani. Wapo watakaopenda kuzifuta lakini hawataweza kwa sababu nyayo zako zimechapwa kwenye miamba kwa kutumia wino usiofutika.

Mazuri ya Mkapa, ni zawadi ya Mungu kwetu tunaoebdelea kuishi.

Kwa watawala waliopo sasa na wajao, wasiyanene mazuri ya Mkapa kama hadithi bali waweke dhamira ya kuyaiga na kuyaishi. Watakapoyaishi watakuwa wanamuenzi Mungu ambaye hugawa karama fulani kwa kila mwanadamu ili zikijumuika pamoja zimtunze, zimjenge na zimlinde mwanadamu.
Aliyofanya Mkapa ndio ingekuwa hawa watu waliopo sasa hivi... wangeoigwa wengi Risasi Ila Mkapa anabaki kuwa Alama ya mtu aliekuwa na dhamira thabiti yakuenga Taifa lake sio hawa wanaonunua ndege zinazoleta hasara ukiwaambia ukweli wanakuchapa Risasi
 
Mkuu, nimekuelewa vyema!! Ingawa ndani ya Andiko lako kuna upenyo wa maswali ama la, niamue kuwadharau waliowahi kumpondea Mzee Mkapa

Kuna ka kikundi kazi Yao ni kuwatafutia watu ubaya ili wawe wabaya machoni pa wengi, hii ndiyo dhambi mbaya kabisa, na kakikundi hako kapo Hadi Leo na hata sasa kangali kakifanya kazi hiyo ya Kishetani na wakishirikiana vema na Lusifa

Kwa bandiko hili kama ni kuomba Moto ushuke juu ya shetwani basi ni pamoja na maagenti hao,

RIP Mzee Mkapa, hakika umefanya mengi Kwa Taifa letu
Kuna watu wanasema Utawala wake uliondosha haki za kuishi kule Zanzibar.Je,kuna ukweli kuhusu ili?
 
Zuri kuliko yote hakutaka kuongezewa mda
Wala kutuma wapambe waseme aongozewe mda..
Umeongea kitu kikubwa Sana hawa tulionao hakuna chamaana wanafanya Ila wanatumia wehu kutaka kubadili Katiba SHAME
 
..kama ni hivyo hata Mkapa hastahili kutajwa, wanaotakiwa kutajwa ni Watanzania ambao walimchagua, walimuwezesha, na kumpa fursa Mkapa.

..hoja yangu ni kwamba tujenge utamaduni wa kutambua michango ya Watanzania wengi zaidi na siyo kuelekeza sifa zooote kwa Wakuu wa Nchi.
Nahisi hujamuelewa mleta mada
 
Mwaka 2002, nilikuwa jijini Santiago kikazi. Nilijumuika na watu wengi toka pande mbalimbali za Dunia. Mmoja wa niliyejumuika naye alikuwa ni ofisa mmoja wa kutoka Indonesia. Wakati huo Indonesia ilikuwa haijapita muda mrefu tangu wamchague Waziri Mkuu.

Wakati huo, kwenye hoteli ile kulikuwa na King Hassan wa Jordan, na George Bush aliondoka siku mimi nilipoingia. Ni hoteli ambayo wakubwa wa Dunia walipenda kufikia, na gharama yake haikuwa haba.

Wakati fulani wa maongezi, nikiwa nimesimama na yule ofisa wa Indonesia, afisa wa juu wa Serikali ya Canada, akamwambia yule afisa wa kutoka Indonesia, 'this time you have a got a very good Prime Minister', yule Muindonesia akasema, 'you are right'. Kisha yule afisa wa juu wa Canada, akasema, 'but I assure you, he is not as good as this genteman's President, President Benjamin William Mkapa.

Last week Benjamin Mkapa was in Toronto, he addresed like the President of Africa. He spoke on behalf of Africa. We were expecting such a speech from Thabo Mbeki, but it was Benjamin Mkapa who made it. He is an exceptional leader. He has made what even the First World Presidents cannot. Can you imagine, lowering inflation from 30% down to 4%, that had never happened anywhere but Benjamin has done it. Unfortunately, I do not think the Africans understand the greatness of Benjamin. Had it been in any American or European countries - he would be in success records'.

Nilimjua Mkapa kwa mbali sana. Niliijua kazi aliyoifanya Mkapa, hasa kwenye uchumi wa nchi yetu lakini sikufikiria kuwa alichokifanya kilikuwa ni cha pekee sana Duniani.

Ni Mkapa ndiye aliyesimamia sera ya uwekezaji. Kuna watu wajati wa uhai wake wamekuwa kuhusu uwekezaji kwenye sekta ya madini, na kuashiria kuwa aliuza rasilimali za Taifa kwa mabeberu. Lakini kwa dhamira ya moyo wangu kabisa, na kwa kumheshimu Mungu aliyeniumba, nina hakika Rais Mkapa alikuwa mzalendo wa kweli wa nchi yetu. Uwekezaji kwenye sekta ya madini, haukuwa na rushwa yoyote wala dhamira yoyote ya kuangamiza Taifa.

Naikumbuka hotuba aliyoitoa Mkapa pale Bulyanhulu, mbele ya Watanzania na Balozi wa Kudumu wa Marekani, Andrewa Young, 'to make an investor come to Tanzania, not to South America, Asia or even Kenya, where there is electricty, good roads, assured communication facilities, instead come to Tanzania where all the necessary enabling infrastructure is missing, there is a price to pay, and my government has accepted it".

Mkapa wakati huo alikuwa akigangaika kupata hrla ya kuendeshea Serikali. Wakati Mkapa anaingia madarakani, hata mishahara ya wafanyakazi wa umma ilikuwa inakosekana. Mwezi wa 7, mfanyakazi analipwa mshahara wa mwezi wa 5 au 6. Mkapa aliondoka madarakani wafanyakazi wote wa umma wakilipwa kwa wakati.

Ukitaka kumjua kiongozi mzuri, uone atafanya nini wakati nchi ikiwa katika matatizo. Mkapa aliweza kuonesha uwezo wake wa kuitoa nchi kwenye dimbwi la dhiki kubwa. Mkapa hakuwahi kuhangaikia sifa bali alihangaikia mafanikio ya nchi.

Ni bahati mbaya sana watanzania huwa tunavutika na kushawishika kwa vitu vidogo vidogo, huku makubwa tukiyapa umuhimu mdogo.

Sina nia ya kumlaumu mtu lakini kama kuna kitu ambacho mpaka leo huwa najiuliza, sipati jibu, ni mtazamo wa Serikali ya awamu ya 5 kuamini kuwa hakuna makubwa yaliyowahi kufanyika awamu zilizopita. Wanataka kuwaaminisha watu kuwa mambo makubwa, mazuri na ya ajabu yamefanyika awamu hii. Lakini kwa hakika misingi muhimu ya uchumi wa kisasa kwa Tanzania, iliwekwa na Mkapa.

Mkapa aliuchukua uongozi wa nchi, hazina ikiwa ina zero balance. Akaondoka akiwa ameacha $5 billion. Ni Mkapa ndiye aliyejenga taasisi imara za utawala, uongozi na za kusimamia uchumi. Ni Mkapa ndiye aliyeifanya sekta binafsi kuwa mhimili wa uchumi. Ni Mkapa aliyeingia madarakani $1 = TZS 800; akaishusha mpaka $1 = 500. Mwinyi aliipandisha $1 = TZS 5 mpaka $1=TZS 800.

Hakuna mtawala mwingine yeyote aliyeweza kupandisha thamani ya shilingi dhidi ya sarafu nyingine kubwa za Dunia kama alivyofanya Mkapa.

Niliwahi kukutana na kiongozi mmoja aliyehudumu kipindi cha Mkapa, Kikwete na Magufuli - alisema, 'katika awamu zote, ni kipindi cha Makapa pekee, ukitaka kufanya maamuzi unaangalia sheria, kanuni na miongozo. Huna haja ya kumwuliza mkubwa wako. Leo ukijifanya kuangalia sherua na kanuni bila kujitahidi mkubwa anataka nini, umeebda na maji".

Yale maelezo ya Mkanada na huyu afisa kiongozi wa Serikali, yanadhihirisha kuwa Mkapa alikuwa Kiongozi. Kiongozi hutengeneza mifumo. Mifumo huwatengeneza viongozi wengi na kuwapa moyo wa kujiamini katika kutenda kazi zao.

Watawala badala ya kujenga mifumo, huyajenga majina yao. Hawapendi kujenga mifumo kwa sababu mifumo hutoa nafasi ya watu wengine kuonesha umahiri wao. Watawala hupenda wasifiwe wao tu. Hawataki kujenga mifumo ambayo huwajenga watu wengi, na kuyainua majina yao.

Mpendwa ndugu yetu Rais Mstaafu Mkapa, umeimaliza safari yako. Umeziacha nyayo zako Duniani. Wapo watakaopenda kuzifuta lakini hawataweza kwa sababu nyayo zako zimechapwa kwenye miamba kwa kutumia wino usiofutika.

Mazuri ya Mkapa, ni zawadi ya Mungu kwetu tunaoebdelea kuishi.

Kwa watawala waliopo sasa na wajao, wasiyanene mazuri ya Mkapa kama hadithi bali waweke dhamira ya kuyaiga na kuyaishi. Watakapoyaishi watakuwa wanamuenzi Mungu ambaye hugawa karama fulani kwa kila mwanadamu ili zikijumuika pamoja zimtunze, zimjenge na zimlinde mwanadamu.
Bila kutafuna maneno rais JPM anajijenga yeye na kuwabomoa wengine ila ukweli utabaki yeye ataondoka akiwa kichuguu wenzake wakiwa milima labda kidogo atafanana na mwinyi lakini sio JKN BWM wala JK Hawa hatawakuta maana imeandikwa ajikwezae atashushwa.
 
Hivi unajua aliyoyafanya Mwinyi?
Nyinyi watoto msiropoke msivyovijua
 
Mimi si mshabiki wa mkapa na si hivi hivi tu. Ile Kwenye mfumko wa bei alikuwa messi
 
Pemba? Tanesco? NBC? Kiwira?....
 
Kama habari haijakuvutia summary itakuvutia Nini chief?
Ntajua nini mleta mada anazungumzia bila kujichosha, unaweza kuwa na let say points 4 lakini zimebatana na baadhi ya matukio/ taarifa zinazovutia so unaburudika kusoma vyote. Lakini kama habari haivutii ndiyo hapo mtu anapotaka summary tu.
 
Mkuu alitimiza wajibu, nadhani tuwe na Katiba ambayo itaweka utaratibu wa kumpa raisi malengo ambayo shariti ayatimize, ili kuondo dhana ya kusifia

Kumbuka Huyu bwana alikuwa fisadi na katili Sana aliwafukia ndugu zetu kwenye machimbo
 
Mkapa nilipenda zile hotuba zake vibaya yaani anafanya tathmini ya mambo yote yaliyofanyika mwezi mzima na anatoa majawabu yote kuanzia malalamiko ya kila wizara halafu anatoa mwongozo wa namna tutakavyokuwa kwa mwezi mwingine.
Mkapa was a Statesman. Kiukweli huwezi kumlinganisha na waliomfuatia .....!!
 
Nazungumza kitu ambacho nina uhakika nacho kwa 100%. Huenda ulikuwa mdogo. Wakati ule dola 1 ilikuwa sh 5. Kwa hiyo ukipanda basi la mzunguko mjini Dar unalipa sh 5. Yale basi ya Ikarusi ya kutoka Romania. Waswahili hiyo sh 5 waliita dala. Ndiyo chanzo cha kuyaita mabasi ya mzunguko mjini daladala (yaani doladola) kwa sababu kila mahali ulilipa sh 5, sawa na dollar 1.

Na noti ya sh 20 iliitwa paundi kwa sababu paundi 1 ilikuwa sawa na sh 20. Wakati ule viwango vya ubadilishaji fedha vilikuwa vinapangwa na Serikali.

Mwinyi aliporidhia masharti ya IMF ya kushusha thamani ya shilingi ya Tanzania, dola 1 kwanza ilikuwa sh 20, kisha ikaruka ikawa sawa na sh 60, halafu ilienda mpaka sh 90, kisha sh 190, ikapaa mpaka dollar 1 ikawa sawa na sh 390. Baada ya hapo iliendelea kushuka mpaka kufikia dola 1 sawa na sh 800. Wakati huo inflation ilikuwa imefikia 30%.

Sina sababu ya kuweka chumvi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pale uliposema Mwinyi alikuta $=5 sh ilinichanganya kwani Mwinyi alikuja 1985 sh ya Tanzania.
 
Back
Top Bottom