TANZIA Buriani Peter Richard Mwendamseke

Nikajua tajiri wetu wa Mabasi nyanda za juuu kusini🙁🙁🙁🙁🙁
 
IMG-20210809-WA0014.jpg
 

Peter Richard Mwendamseke alikuwa kijana mjasiriamali, akijikita zaidi kwenye mifumo wa mawasiliano.

Pia Peter Richard Mwendamseke alikuwa ni mdau mkubwa wa burudani na michezo.

Hakika wana Mbeya wamempoteza kijana wao mahiri.

Mungu ailaze Roho ya marehemu mahala pema. Amina
Aliumwa au ajali?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom